Recent content by kazi kaz

  1. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Mk Mkuu vigezo vyao vinasemaje
  2. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Nipo dar mkuu uwezi nisaidia
  3. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Nipo dar kiongozi
  4. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Wakuu bado sijapata nasisitiza mnisaidie nipate kaz
  5. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Sio tried test iyo ni cbet
  6. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Mi nimesoma veta ila uko tanesco bila kushikwa mkono utaangaika sana nishapelekaga maombi nikatoka kapa
  7. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Asante mkuu Kwa ushauli
  8. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Napatikana mbezi kaka na pikpk naendesha ila Sina lesen
  9. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Asante mkuu erik
  10. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye fani ya ufundi umeme (ELECTRICAL INSTALLATION) CBET LEVEL III nilihitimu mwaka 2014 na nilifanikiwa kufanya kazi sehemu mbalimbali hasa kama fundi wa kujitegemea wa wiring majumbani sasa mambo yamebana nahitaji nipate sehemu niajiriwe ni mchapa kazi...
  11. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jamvi

    Habari zenu mi ni mtanzania mwenzenu mnipokee kwa wema asante
  12. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu Kwa TRA na anayejua utalatibu mzuli wa TRA na ukusanyaji wao wa mapato

    jamani Kwa upande wng naona kama awa jamaa wanakosea katika ukusanyaji wao wa kodi na kumkadilia mfanya biashara Kwa maana makadilio yako wamesha yapanga na kuuliza mauzo ya mlipa kodi ni kumtoa akilili mlipa kodi Kwa sababu ukiwatajia mauzo yako wanakubishia utasikia aiwezekani Kwa siku uuze...
  13. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    awajielewi eewh wabongo movie
  14. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Electrical installation

    ndio
  15. kazi kaz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    nafasi azijatoka tukapambane wilayani
Back
Top Bottom