Recent content by Kazegunga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la MTAMA UKAWA ushindi wa mapema mkifanya hivi;

    Yeye ndo ahamie chama cha cuf harafu wawampe jimbo agombee
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watia nia wa CCM, wangetujibu hili kwanza

    Nimewasikiliza sana watia nia hoja zao nzuri sana kama wataweza kusimamia waliotuahidi ila nashaka sana na watia nia walio kwenye serikali kweli walishindwa kumshauri rais mawazo yao mazuri ili kuliokoa taifa na umaskini? DA bora sasa tumpe ambaye hakuwemo kwenye serikali
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke umri 25-50

    Aliye tayari ani pm serious
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True love

    Sifa zipi we mpm
  5. K

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Chuo kipi hapa dar es salaam kina course ya engineering evening class tofauti na dit msaada ndugu zangu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni Zawadi ya Tanzania toka kwa Mungu

    Fafanua zaidi tujue maana kuna mungu na miungu je? nichaguo la miungu lowassa hafai hata kidogo huo ndo ukweli
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete NIDA: Ufanisi wa ndani ya Taasisi ni wa kutilia shaka

    Tumikia serikali acha kupenda posho zaidi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Intern ya udaktari

    Watu wengine mpaka Leo hawana ajira zaidi ya miaka 3 na wanalishwa,valishwa Nk lakini hawatutengi hivyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kabla sijaamua cha kufanya

    Nimepata kazi sehemu mbili tofauti yaani TANROADS NA TAA tanroads scale 5 NA TAA scale ya Taa scale 6 sasa kwa hizi skeli IPI ni shirika zuri kwa malipo nikasaini mkataba mtakaoniongoza mungu awatangulie kwenye shughuli zenu!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Barua za kuitwa kazini utumishi

    Kwa waliobahatika kupata ajira kupitia serikarieti ya ajira vipi kuna aliye pata barua
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuulizia barua za kuitwa kazini

    Mimi ni mmoja ya waliopata ajira utumishi naulizia barua za ajira kuna aliyepata maana huku bosi hataki kunipa mshahara akihofia nitaondoka mwezi huu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nisome vitu gani niwe na CV Nzuri kwa Civil Eng.

    Kama unapenda kubase kwenye BARABARA basi soma vitu hivi:- soil, ujue AUTOCAD,GEOTECHNICAL Engineering, ujue materials haya kwa undani zaidi LAMI,ZEGE,STEEL ukiwa fresh hapo hutasumbuka sana, na watakuona upo vzr ,pia procurement uelewe vzr
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

    Asante mkuu ngoja nijaribu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

    Habari wakuu, Naombeni msaada ndugu nataka kutoka facebook
Back
Top Bottom