Recent content by Kazata

  1. K

    Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

    Wewe umekuwa wa hovyo siku hizi
  2. K

    Wanaodai wanapigania demokrasia ndio wafanyao udikteta

    Hiyo CCM unayoitetea bila kusaidiwa na vyombo vya umma usingekuwa na cha kusema. CCM si chama bali ni mkono wa serikali. Watu husema serikali ya chama cha mapinduzi mimi nasema ni chama cha serikali.
  3. K

    Rais Magufuli amethibitisha kuwa Ujamaa ndio mfumo bora zaidi kama ukipata mtu makini wa kuusimamia.China wameweza,why not us?

    Wewe ni mbumbumbu wa jinsi China inavyoendesha mambo yake. Uchumi wa China si wa kisoshalisti hata kidogo. Uzalishaji wa mali na huduma mbalimbali China ni wa kibepari tena ubepari kweli kweli. Bado kuna sekta za uchumi ambazo zinamilikiwa na serikali lakini ni state capitalism. Kila kitu...
  4. K

    Una mtazamo gani kuhusu mazungumzo kati ya ACACIA na Tanzania

    Huwezi kuwa kizazi cha 500. Kizazi cha 500 ni zamani sana ndugu yangu. Watu ambao baba zao walizaliwa mwaka 1918 wapo yaani ni kizazi cha 2. Toka Wajerumani wafike hapa Tz miaka ya 1880 - 1890+ ni vizazi 3 au 4 tu.
  5. K

    Mtazamo: Kuna bara moja huenda "human evolution" bado inaendelea

    Bwana Salary slip Napenda nizungumzie suala la evolution. Kwa kweli si kwamba katika mataifa mengine yaliyoendelea evolution imekamilika bali evolution inaendelea kwani inategemea mazingira. Iwapo mazingira yanabadilika basi badiliko lolote litakalotokea katika mwili wa mwanadamu na badiliko...
  6. K

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Dini za kiislamu na kikristu zililetwa a Waarabu na Wazungu. Wakati zilipofika ziliwakuta Waafrika wakiabudu kupitia dini zao za jadi. Wazungu hao na Waarabu wakawaambia kuwa dini za jadi zilikuwa za uongo na za kishenzi. Bado unaamini zilikuwa za uongo na za kishenzi? Siku hizi walewale...
  7. K

    What is the best evidence for evolution?

    Thank you very much for the information
  8. K

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    Kwako Bwana Rajab kisauti Nimeangalia maelezo yako. Nionavyo mimi ni kwamba hujawahi kupata maelezo ya kisayansi yaliyo sahihi na ya kina kuhusu mwanzo wa viumbe hai duniani. Vitabu vipo vingi sana vinavyoeleza jambo hili. Kwa sasa wanasayansi wote wanakubaliana juu ya maelezo rasmi ya...
  9. K

    What is the best evidence for evolution?

    Dear Nyani Ngabu. You shouldn't be skeptical about evolution at all. Evidence on the existence of evolution abound everywhere in the world. The creationist theory is even more confusing than volution. The problem of evolution is that it is extremely slow to the extent that it takes longer than...
  10. K

    Mungu yupo, Moto upo na Pepo ipo (majibu)

    Bwana Muxar Hii dunia ina mwisho hata katika sayansi. Dunia hii na viumbe vyake vinapata nuru kutoka katika jua. Nuru ya jua inatokana na muunganiko wa gesi ya Haidrojeni (Hydrogen)na kutoa gesi ningine ya Haliam (Helium). Muunganiko huu huzaa nishati kubwa sana ambayo tunaiona katika mwanga...
  11. K

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    Dr. Aluta Swali lako ni gumu kulijibu kwa ufupi. Kadri ninavyofahamu mimi wanasayansi wanazungumza mada mbili moja ni uwepo wa Mungu na mada nyingine ni kuhusu Mungu huyu kuwa chanzo cha viumbe vyote. Ukitaka kuelewa dhana yote kama wanavyoielezea kwa kweli utatakiwa kuvitafuta vitabu...
  12. K

    Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

    Nikupateje Si kwamba watu wasiojua kiingereza wamepatikana. Sina uhakika kama unaishi hapa Tanzania au kama unafahamu mifumo ya kiutawala ya madhehebu ya dini mbalimbali hapa Tanzania. Kwa ufahamu wangu neno Parokia ni neno la Kiswahili. Kanisa Katoliki hulitumia neno hilo kama ngazi mojawapo...
  13. K

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Mtoa mada maelezo yako yanapotosha ukweli. Ukitazama vizuri mikoa ya sasa inaleta utengano zaidi kuliko majimbo. Kwa mfano Mkoa wa Iringa wa zamani uliyaunganisha makabila ya Wahehe, Wabena, Wakinga, Wapangwa na Wamanda. Lakini Mkoa wa Iringa uliobakia baada ya kuzaliwa mkoa wa Njombe ni wa...
  14. K

    Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

    By Elungata Usiseme Yesu siyo Mungu bali sema Issa siyo Mungu. Hii ni kwa sababu katika Qu'an hakuna neno Yesu. Ninaelezwa kuwa Jina Yesu katika Biblia ni sawa na Issa bin mariam katika Qur'an. Kwa vile haya ni mambo ya imani hakuna haja ya kuyalinganisha majina haya. Kila mmoja atumie jina...
Back
Top Bottom