Recent content by Kaylne

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kanifumania week ya pili sasa matendo yake kwangu yananipa wasiwasi

    Anyways huu uzi umenipa wazo kuwa wanawake hatupendani, huyo binti itakua alikuwa anamchumguza tangu siku nyingi huenda kuna vitu alivitamani labda pesa, muonekano au kadhalika akaamua kuingia kwa staili hiyo. Wanawake dizain hii wapo sana hata kuzaa na mhusika siyo shida ilimradi tu aharibu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kula mgongo

    Dunia hii Looo!Sina cha kusema
  3. K

    JamiiForums Tanzania How can I peacefully end a relationship my mother does not support?

    Ukiwa kama mwanaume kuna mambo mengine inabidi usimame mwenyew,my mom and dad had the same situation several years ago and now they are happy together . Swali je kwenye ndoa yako utaweza kufanya maamuzi mwenyewe au mpk mama? Na ukumbuke sio kila mama mkwe ana sababu ya kumchukia binti wengine...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Emanuel mbasha kuwataja watumishi wote mashoga

    Nasubiri nione mwisho wa hii issue ni upi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

    Hakuna mkosi kama kuingilia ndoa ya mtu hata mtoto atakayepatikana hapo hatapata baraka yeyote. Anyways unatoka na mume wa mtu hujisikii aibu?baadae umri ukienda unaanza kulia lia Hamna wa kukuoa. Unatembea na binti mdogo akipata mimba ndio unaanza kuhaha na baadae ni kusambaratika kwa ndoa yako...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwenye simu ya mke wangu nimeamini wanawake ni mamafia

    Ni bora umeona ukajua cha kufanya na jinsi magonjwa yalivyojaa.Umkanye tu maana unaweza kuletew magonjwa hivi hivi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Almanusura nipigwe kwa kushika makalio ya mke wa mtu kwenye mwendokasi

    😂😂😂hizi hadithi zako
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mwanamke niliyekuwa nimempata Dar, huenda nikatemana naye

    Ameshakuonesha ni mwanamke wa aina gani don't stress urself
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Usioe career woman!

    Alichokisema mtoa mada kina ukweli ndani yake wachache wataelewa anachomaanisha lkn tukirudi kwenye tabia hicho ni kitu ambacho hakitabiriki kuna ambao wanakaa majumbani Lkn ni malaya na viburi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mkitaka kuolewa jiongezeni kwenye game

    Mmmmmh! Kizazi hiki
  11. K

    JamiiForums Tanzania She has unbreakable Hymen

    Yeah hiyo hali unayosema ipo na ni kushukuru tu amejitunza mpk that age the issue ni kwamba bikra jinsi inavyozidi kukaa na kuitoa pia inazidi kuwa ngumu if you are strong and tough enough itoe mwenyew lkn kama itashindikana chukua tu hiyo procedur
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kutafuta mchumba limekuwa gumu

    Kutafuta mke ni swala kubwa Sana na ushukuru Mungu wamekuonyesha tabia zao. Jipe muda utapata msichana sahihi kwa wakati wake
Back
Top Bottom