How can I peacefully end a relationship my mother does not support?

How can I peacefully end a relationship my mother does not support?

Kudate na mamaz boy ni shughuli, ila shughuli zaidi itamkuta atakaekubali kuolewa na wewe, huwa mna akili za kushikiwa sana huyo mke atakua mke wake familia mama yako ndo atakua mwamuzi wa kila kitu kwenye maisha yako, huna tofauti na diamond na mama dangote. Pole mtoto wa mama
Est are u comparé me with Diamond2
Kudate na mamaz boy ni shughuli, ila shughuli zaidi itamkuta atakaekubali kuolewa na wewe, huwa mna akili za kushikiwa sana huyo mke atakua mke wake familia mama yako ndo atakua mwamuzi wa kila kitu kwenye maisha yako, huna tofauti na diamond na mama dangote. Pole mtoto wa mama
So you comapre me with Diamond and my mal with Diamond Mother ? Whatch it.
 
Hii Mikasa inatokea kea watu wengi mi mwenyewe ni mhanga wa hili jambo ilitokea mpaka girl anaujauzito wangu nikaficha kwa mama ila baba nilimwambia
 
Not mamaz boys , sema Wazazi wanaonaga mbali Sana mi nitakuja kuanzisha uzi wangu asee niliyo pitia ni Kama movie la kishetani
 
Hii kitu ilinitokea. I really liked the guy.
*He is my good friend to this day. But alivyoniintroduce to his mother things didnt go well. Actually she welcomed me warmly but body language ilichange when she heard my surname. Just to confirm aliuliza kabila then nilivyomjibu that was it! Uchangamfu ukiisha na hakuonyshesha tena interest ya kutaka kuongea na mimi.
Tunatoka mkoa mmoja na huyo kijana/and his mother but kabila tofauti. And l came to find out kuna animosity between our two tribe and they rarely intermarry.

Well nilijiongeza and l slowly ended the relationship with him. I'm am now happily married with someone else. I dont regret moving on.
That is life sometimes things just dont work out despite the best intentions and its better to walk away.
I like your conclusion
 
Is your mother marryng the girl, is your mother wants to marry you?, talk to your heart, are you in love with the girl. No one will choose for you a wife,
Wa mama wote huwa wana wivu na wachumba wa watoto wao
 
Ukiwa kama mwanaume kuna mambo mengine inabidi usimame mwenyew,my mom and dad had the same situation several years ago and now they are happy together . Swali je kwenye ndoa yako utaweza kufanya maamuzi mwenyewe au mpk mama? Na ukumbuke sio kila mama mkwe ana sababu ya kumchukia binti wengine ni basi tu kaamua
 
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can sense how much she care about me compared to other relationships I have been in the past.

But when my mum got to know about her, she said she's not in support with our relationship and she has never said such in my past relationship.

Please I want to seek advice from my fellow JF members here on how I can peacefully end the relationship without hurting her feelings.

And how can I justify myself so that she won't have a bad impression about me (and men in general) that I just use her and dump her.
MAAN YAKE HUNA MSIMAMO HUJUI UNACHOHITAJI...SO WE SUBIRI UCHAGULIWE MKE NDIO KILICHOBAKI....N LET HER HAVE THE RIGHT TO HAVE A BAD IMPRESSION MAANA WE HUAMUI UNAAMULIWA
 
Back
Top Bottom