Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,143
- 2,275
Sawa mkuu ngoja nije huko

Wendawazimu wengine hadi ulimi wanapeleka mkuuYani mshedede wangu niupitishe kunakotokea kinyesi! Hapana aisee
Nina mashaka na wewe...Ikishaitwa dhambi tayari ni chukizo mbele ya Mungu kwa mujibu wa vitabu husika.
Hivi mkuu ukakutana na mtu aliyekuibia fedha nyingi alafu papo hapo ukakutana na mashoga wanafanya yao bila kuingilia uhuru wako utachukua hatua gani?
Kupambana na mwizi wako au mashoga ambao hata hawali kwako?
Kwanini uchukizwe na watu walioamua kutumia miili yao wapendavyo bila kumbugudhi mtu wakati yapo mengi ya kufanya?
Pombe anywe mwingine kulewa ulewe wewe
Usipende akili yako kuwa na usugu wa kukariri watuNina mashaka na wewe...
Ila moto wa jehanamu ni ule ule, uwe ulizini na mmoja tu, ulikuwa kahaba, mzibuaji, mzibuliwaji, ulidokoa sh 100 ya bi mkubwa kiama kikikukuta hujatubu hakuna afadhali yoyoteWe kama mimi mkuu wacha nikaadhibiwe kwa dhambi zingine lakini hii siwezi kuifanya kamwe
Nawauliza waumini, eti kuna dhambi kubwa na ndogo?
ndiyo... huwezi fananisha Malaya na mchinja watuNawauliza waumini, eti kuna dhambi kubwa na ndogo?
Hakunaga dhambi kwa dunia hii,ila kuna makosa ya kisheria.Kosa kuu ni kutoa uhai wa mwenzako.dhambi waachie wafia dini.Nawauliza waumini, eti kuna dhambi kubwa na ndogo?