Tabia ya wafanyabiashara kulazimisha kuuza nyama bei kubwa kiholela,inatuasili sisi walaji.
Kitendo cha wafanyabiashara hao kupuuza agizo la serikali kupunguza bei ya nyama na kususia kutoa huduma hiyo.
Kwakweli serikali inatakiwa kuwafungia leseni zao kwa sababu sisi walaji ndio tunaoumia.
Jamani mimi sio Mwanasayansi ila ni mtafiti wa kienyeji kuhusu mapenzi.nimegundu kwamba sababu ambazo zimeongeza tatizo la upungufu wa Nguvu za kiume niuvaaji wa Nguo za nusu uchi kwa wanawake.
Zamani kuliona paja la mwanamke ilikuwa shughuli hivyo iliongeza mvuto wa mwanamke kwa mwanamme...
Kwanini watendaji wa kata na wakurugenzi wanatumia madaraka yao kupokonya haki ya wengi?je hawakujiandaa na vyama vingi vya siasa nchini?navyoona mimi hawa watendaji hawajui nafasi waliyonayo na wajibu wao kazini.wamekuwa wakitumiwa na chama cha magamba kupokonya haki ya wengi kidemokrasia,hii...
Tofauti na Zamani, idadi ya wanawake kuwa na makalio makubwa imeongezeka kwa kasi kubwa sana mnamo miaka hii 2000 mpaka 2015.
Imekuwa kero kwetu sisi wapenda mahaba ya dhati, hawa wanawake hawajui hata kukatika, muda mfupi tu anakuambia bebi nimechoka.
Jamani makalio sio fashion.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.