COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
Kwa matukio yaliyotokea/yanayotokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa ni dhahiri kabisa kuwa CCM ndiyo chama kitakachotuletea Fujo hapa Tanzania.
Tumeshuhudia watendaji wakipigwa na wanachi kwa kuchakachua matokea, kwa kutangaza ushindi wa uongo kwa wagombea wa CCM.
Maeneo ambayo CCM waliweka pingamizi na mgombea wao kupita bila kupingwa tumeshuhudia siku ya kuapishwa wenyeviti hao wakipigwa hadi kujificha kwenye KARAVATI.
Nimeshuhudia jana Makongoro Mahanga akitaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Anatoglo, wanachi wakamzomea sana huku wakumuita mwizi mwizi mwizi mwizi. Nadhani bila kuwepo polisi jana naye angepokea kipondo cha haja.
MYTAKE: Ndugu zangu tueni macho hawa CCM siyo watu wazuri, wamezoe kuchakachua. Upande wa pili wananchi wameamka, wameamua kutetea haki yao ya kikatiba..wameamua kutembeza kipondo pale wanapoibiwa kura. Sasa nini kitatokea October 2015? Mikong'oto ya haja kati ya POLISI na WANANCHI.