Kwanini wanaume wana upungufu wa Nguvu za kiume?

KAYILAZ

Senior Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
195
Reaction score
30
Jamani mimi sio Mwanasayansi ila ni mtafiti wa kienyeji kuhusu mapenzi.nimegundu kwamba sababu ambazo zimeongeza tatizo la upungufu wa Nguvu za kiume niuvaaji wa Nguo za nusu uchi kwa wanawake.

Zamani kuliona paja la mwanamke ilikuwa shughuli hivyo iliongeza mvuto wa mwanamke kwa mwanamme kitendo cha wanawake kuvaa nusu uchi kimewaathiri wanaume kisaikolijia hali ambayo wanaume imekuwa kawaida kuona uchi wa mwanamke hivyo kuishiwa hamu ya kufanya mapenzi.

Jambo jingine ni maisha magumu,pia ongezeko la ugumu wamaisha imekuwa tatizo kwani wanaume wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuwaza Maisha kuliko kuwa na muda wa kukaa na wenzi wao.

Vyakula tunavyokula navyo ni tatizo,mabadiliko ya hali ya hewa na uharibifu wa mazingira nalo ni tatizo pia,hii imesababisha mabadiliko ya homoni mwilini.Sina mengi wadau itakuwa vyema na wewe ukichangia hili haswa wasomi.
 
mi naombaga na kusema Mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa Nguvu za kiume utafanyaje???

sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne
 
Na ninyi kinadada mmezidi kujiweka kiumekiume yani! hauoneshi viaibu vya kikekike full kujiamini kama Juma, story nyiiingi kama Dominiki Chilambo afu unamkoromea mpenzi/mme wako kama simba!

Sasa hapo mguvu za kiume kwa mwana zitajioneshaje zaidivya kujificha ktk ma...pmbu?

Ndo maana mwana akisholola goli moja hamu kwishney anakuona kama yupo kambini Buhemba na Afande mwenzie katika tent!
 
mi naombaga na kusema Mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa Nguvu za kiume utafanyaje???

sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne

Umemjuaje kama Ana Tatizo
 
Aaaaaa! Masai Dada! Ulijuaje? Au ndo..........
 
Kwenye vyakula nakukubalia mkuu kuhus mavaz n kujiendekeza tu suregirl come this way dada uje ucheke
 
Last edited by a moderator:
mi naombaga na kusema Mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa Nguvu za kiume utafanyaje???

sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne

Since that thread...............

Its very hard to understand your comments
 
mi naombaga na kusema Mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa Nguvu za kiume utafanyaje???

sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne

kumbe hujaolewa bado!!!
 
au ndo nini...teh teh

nilimpelekea dawa kutoka masaini akadhani sijui kazi yake yaani aliagiza tu mi nikamuuliza bibi kwan hii dawa ya nini akaniambia

Hahahaha! Itabidi ufanye mawasiliano na bibi ili namie unripe hiyo dawa maana ........
 
au ndo nini...teh teh

nilimpelekea dawa kutoka masaini akadhani sijui kazi yake yaani aliagiza tu mi nikamuuliza bibi kwan hii dawa ya nini akaniambia
Wewe unavituko.

swissme:
 
mi naombaga na kusema Mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa Nguvu za kiume utafanyaje???

sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne

ndio maana unashauriwa kutumia ile kanuni ya "shake well before use" ili kuepuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia . masai DADA
 
Last edited by a moderator:
mi naombaga na kusema Mungu apishe mbali

kwa mfano uolewe na mwanaume aliepungukiwa Nguvu za kiume utafanyaje???

sababu kumuacha uwezi,yaani ndo maana nasema hili janga lipite mbal maana kuna kijana mdogo sana namfaham mwenye hili tatizo you cant imagne

Ohooo... Uyo Kijana Umemjuaje? Yanii Nataka Kufaham Kama Uwo Ugonjwa Umeanza Kuonekana Live Machoni Mwa Watu?
 
Jamani mimi sio Mwanasayansi ila ni mtafiti wa kienyeji kuhusu mapenzi.nimegundu kwamba sababu ambazo zimeongeza tatizo la upungufu wa Nguvu za kiume niuvaaji wa Nguo za nusu uchi kwa wanawake.

Zamani kuliona paja la mwanamke ilikuwa shughuli hivyo iliongeza mvuto wa mwanamke kwa mwanamme kitendo cha wanawake kuvaa nusu uchi kimewaathiri wanaume kisaikolijia hali ambayo wanaume imekuwa kawaida kuona uchi wa mwanamke hivyo kuishiwa hamu ya kufanya mapenzi.

Jambo jingine ni maisha magumu,pia ongezeko la ugumu wamaisha imekuwa tatizo kwani wanaume wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuwaza Maisha kuliko kuwa na muda wa kukaa na wenzi wao.

Vyakula tunavyokula navyo ni tatizo,mabadiliko ya hali ya hewa na uharibifu wa mazingira nalo ni tatizo pia,hii imesababisha mabadiliko ya homoni mwilini.Sina mengi wadau itakuwa vyema na wewe ukichangia hili haswa wasomi.

Umeibua Hoja Nzuri Na Binafsi Nimeipenda ILA Naomba Sasa Utusaidie Kwa Kutuambia Tatizo Ni Nini Na Nini Tukifanye Sisi Wanaume Ili Tudumishe Ndoa Zetu Na Ze Michepukoz Yetu. Ila Kiukweli Ni Tatizo Kubwa Sana Na Wanaume Wenzangu Tunaogopa Kulisema Na Adhabu Tunayoipata Ni KUGEGEDEWA Halafu Tunakuja Kulaumu Humu.
 
Back
Top Bottom