Samahani kama nitawaudhi wengine.
Kwanza kabisa mimi siamini dini nyingine ila dini yangu.
Katika mafundisho nakumbuka wayahudi walipaswa kuchinja mzaliwa wa kwanza mwana kondoo na kupaka damu yake ktk door post ili usiku malaika akipita atambue hapa ni kwa myahudi asiwadhulu.
Katika hili...
Mimi nakubali kafanya safari nyingi katengeneza faida sawa sasa akae tule hiyo faida. Hamna sababu kwenda tena huko apumzike kivulini hapo magogoni ale faida basi na mishahara tulipane kama huu wa mwezi wa kumi.
Na wewe uje utusomeshe huku wenzako wengi hawajui kusoma uje uongeze nguvu. Ondoka...
Wawe wana mhusisha pia mzee wa upako vipimo vyake vinaweza kuwa vinakamata kuliko vyao.
Hata hivyo sie hatujawakataza kutupa taarifa kila wanapojisikia haijalishi kama kuna badiliko ikiwezekana watume hata sms kama tigo! Ni heri sana ukipiga cm ukapokea taarifa ya hali ya hewa mara mia kuliko...
Sisi huku tuna afya tele tunavimbiwa, hospitali kibao unaandikiwa dawa pharmacy kila kona. Daladala tuna mpaka treni sikuizi, bado ya ndege kwenda moshi mbeya mwanza kila mahali magufuli yupo bwana na mwakyembe wataleta kwanini mnapata shida huko si mrudi huku simu sio lazima uweke hela unaweza...
Wana jamvi naomba kuleta hoja hapa ili mwisho wa siku niwaelewe hawa watu nijue jinsi ya kushughulika nao
Julai mwaka jana nilimtuma mwenzangu kulipia kodi ya nyumba miezi sita, akafatiliwa na vibaka wakakwapua mkoba wenye hela na simu na vitambulisho mpaka vile vya benki. Wakakimbia lakini...
Nasikia burudani naposikia mtu kauawa! Yaani ilitakiwa waliochoma makanisa wote wawe maiti sasa ivi na wale wanaoua polisi. Mbona ilikuwa rahisi sana kufanya uhalifu sasa hao wanne tuu mnalalamika nini wangekuwa kama 200-300 hivi tunaweza kuanza kufikiri kupunguza nguvu kidogo. Lakini kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.