Recent content by KAYAMASKINI

  1. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania TRA Katavi acheni kujiona miungu watu

    Kwa tabia zilizopo TRA Katavi kwa wafanyabiashara si rafiki na kuridhisha unapokwenda TRA Katavi utadhani umekwenda kituo cha polisi, mikwara umekuwa mingi baada ya kuelimishwa na umekwenda kuwalipa kodi, hiki ndicho kinachofanya kuona kama usumbufu namna huduma zao. Wahusika angalieni mkoa huu...
  2. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuokoa shs. trillion moja kwa kuanzisha TRA EFD app

    TRA wanazingua iweje mfanyabiashara apewe TiN namba baada ya mwaka adaiwe tsh 700000/=wakati kumkadilia hiyo kodi bado anastail kias hii wajibu mepesi mnayotupa mfumo wa tra umekupiga fine ya tsh 700000/=huo mfumo wenu ulikadilia lini ?nikashidwa kulipa na ifahamu nina mtaji kiasi gani
  3. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

    May day nayo ilikuwaje? Walipane posho wakati ilikuwa si siku ya kazi?
  4. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Kesi ya urithi wa Marehemu Dkt. Mengi: Yaliyojiri Mahakamani

    Baniani mazishi hutumia kuni kufanya mazishi nadhani alimani kulingana na vifo kuwa vingi utakea upungufu wa kuni za kufanyia mazishi )kama sikosei hapo wototo wakubwa wa marehemu.tayari walisharith hisa za mama yao
  5. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

    Uganda kimeliwa kitu.pilau hapa we acha.tu♪☆\(^0^\) ♪(/^-^)/♪☆\(^0^\) ♪(/^-^)/☆
  6. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Jumanne Muliro kumrithi IGP Sirro?

    Siro katokea mbali sana toka akiwa RCO shinyanga miaka 2017 hadi 2018 RPC wake akiwa abdala msika badae akateliwa kuwa RPC tanga na mwanza nafasi hiyo aliopo anastahili
  7. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

    Kila nabii hujaa na kitabu chake
  8. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi kwa vijana wa Kitanzania

    Awali ya ya yote ni kutaka kuwasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendeleeee vijana wa kitanzania waliopewa majina teamleder yasiokuwa na faida kabisa kwao na familia katika kampuni ya Tigo wanatumikisha sana zaidi ya miezi 8 mwisho anakuja kulipwa utopolo, binafisi imenisikitisha rafiki yangu...
  9. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Tigo kitendo cha kuwa mnawafanyisha kazi zenu Hawa mnawaita teamleder wanasimamia mauzo yenu Galaxy mnawalipa T-sh 2500 hakubaliki Kabisa hapa Tanzania wizara ya kazi wasidieni Hawa vijana wanaweza jinyonga tigo wanacheza na maisha ya watu huwezi mfanyisha kazi mtu mzima na anafamilia Unakuja...
  10. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Habari, ! Kamishna wa Kazi na mh waziri wa kazi kuna kila sababu sasa ya kutilia mwenendo wa malipo wanafanya tigo hapa nchin
  11. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Kampeni maalum dhidi ya Wizara ya Mawasiliano na TTCL kuwataka waimalishe huduma watanzania tupumue

    TTCL igonjwa mkubwa uliopo inatakiwa kubadilisha sera iliyonayo sasa waje na sera mpya na itakayokidhi mahitaji tulionayo sasa na wachane na ufanyaji wa biashara wa miaka 47 walipokuwa peke yao kwa sasa biashara wanaiona ni mkongo wa taifa wakati pesa zinalipwa na rwanda burundi zinaingia...
Back
Top Bottom