Kampeni maalum dhidi ya Wizara ya Mawasiliano na TTCL kuwataka waimalishe huduma watanzania tupumue

frabel

Member
Mar 13, 2021
32
95
TTCL ni Tanzania Telecommunication Company Limited.
Hii ni idara chini ya wizara ya mawasiliano ya Tanzania.

Ni muda sasa toka kuwepo kwa kampuni hii ya TTCL lakini ufanisi wake umekuwa si yakini hali inayopelekea watanzania kukimbilia makampuni mengine ya mawasiliano, na wao wanapata nafasi ya kutupiga kweli kweli vile wanajua hatuna kimbilio.

Watanzania tunaomba mvae koti la uzalendo, huruma ,utu na uaminifu ili muimalishe huduma ili watanzania wengi wanaotaka wahamie mtandao wa taifa lao. Pengine tuachane na hii mitandao mingine inayo tuibia bila huruma.

Wengi wetu hatuamini kuwa hamuwezi kuimalisha huduma ikiwemo kusambaza upatikanaji wa huduma zenu, ila tunahisi kuwa mna jambo lenu nyumba ya pazia.

Acheni kutupuuza, itendeeni kwa haki tena kwa weledi nchi yetu ili kwa pamoja tuijenge nchi yetu.

Asante.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
52,404
2,000
Huku kwenye shiraka lenu la wanyonge ruksa hata kuandamana ila sio ile mitandao binafsi mliyokuwa mnadanganywa na Ndungulike.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
22,513
2,000
Utaratibu wao mbovu sana.... BADO WANAAMINI GARI ANAKUWA NALO BOSS TU... WAKATI HUKU KWA WENZAO, GARI NI TOOL OF TRADE.. YAANI GARI NI SAWA NA BISIBISI KWA MTU WA TELECOM/TELECOM POWER. HUNA BISIBISI KAZI ITAKUWA NGUMU KWAKO...

Kwa wenzao, siku unaanza kazi kama site Engineer, unapewa gari (na fuel card), Laptop na toolbox... Lakini kwao Toolbox analo mhandisi, gari analo dereva na mafuta anashughurika nayo mwingine (say transport officer). Kwa wenzao, huyo site engineer akihitajika kwenye tower yoyote inayomuhusu, anaanzia safari alipo kuelekea kwenye tatizo maana kila kitu anacho yeye.. SASA KWA TTCL, imajini, kwa Dar dereva anaishi Kawe, mhandisi anaishi Kigamboni muidhinisha mafuta anaishi Segerea... Hao mpaka wa-organise hadi mhandisi afike eneo lenye tatizo, ni muda mrefu utapita, hence long downtime... NANI ANAWEZA VUMILIA HAYA?

Na mambo hayo ndo yalifanya makampuni mengine yote yahame kwenye minara ya TTCL kweny kupeleka mawasiliano mikoani... Kwa mfano, TIGO walikuwa DAR na SWITCH yao ipo Dar... walipotaka kupeleka mawasiliano Mtwara, waliingiza mawasiliano yao kwa TTCL na wanakuja kuyapokelea Mtwara then wanarudisha kweny minara yao... Sasa embu fikiria, Mkuranga pazime, inamaana kwa TIGO na wengine wote waliopita Mkuranga kuelekea Mtwara, watu wao hawawasiliani, kisa TTCL wamepata tatizo... UKIWAZA NA MLOLONGO WA HAPO JUU... wakaamua wahame na kila mmoja akajenga minara yake.. walioamua kushare walishea.... Hii ilipelekea wakose mapato mengi mno

Sasa tukio hilo la kuzima minara ya TTCL usiombe litokee weekend... NDO MTAKOMA
 
cache2

Member
May 24, 2020
80
150
Hawa wanatakiwa washushe bei ya vifurushi kipindi hiki ambacho voda wao vifurushi ni bei juu. Lakini cha ajabu bado hawaoni fursa na wao bei ni juu bora hata ya mitandao mingine. Watu wa marketing wa hili kampuni wawaachie vijana kazi wamejazana tu wazee hakuna hata ubunifu
 
Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
743
1,000
Utaratibu wao mbovu sana.... BADO WANAAMINI GARI ANAKUWA NALO BOSS TU... WAKATI HUKU KWA WENZAO, GARI NI TOOL OF TRADE.. YAANI GARI NI SAWA NA BISIBISI KWA MTU WA TELECOM/TELECOM POWER. HUNA BISIBISI KAZI ITAKUWA NGUMU KWAKO...

Kwa wenzao, siku unaanza kazi kama site Engineer, unapewa gari (na fuel card), Laptop na toolbox... Lakini kwao Toolbox analo mhandisi, gari analo dereva na mafuta anashughurika nayo mwingine (say transport officer). Kwa wenzao, huyo site engineer akihitajika kwenye tower yoyote inayomuhusu, anaanzia safari alipo kuelekea kwenye tatizo maana kila kitu anacho yeye.. SASA KWA TTCL, imajini, kwa Dar dereva anaishi Kawe, mhandisi anaishi Kigamboni muidhinisha mafuta anaishi Segerea... Hao mpaka wa-organise hadi mhandisi afike eneo lenye tatizo, ni muda mrefu utapita, hence long downtime... NANI ANAWEZA VUMILIA HAYA?

Na mambo hayo ndo yalifanya makampuni mengine yote yahame kwenye minara ya TTCL kweny kupeleka mawasiliano mikoani... Kwa mfano, TIGO walikuwa DAR na SWITCH yao ipo Dar... walipotaka kupeleka mawasiliano Mtwara, waliingiza mawasiliano yao kwa TTCL na wanakuja kuyapokelea Mtwara then wanarudisha kweny minara yao... Sasa embu fikiria, Mkuranga pazime, inamaana kwa TIGO na wengine wote waliopita Mkuranga kuelekea Mtwara, watu wao hawawasiliani, kisa TTCL wamepata tatizo... UKIWAZA NA MLOLONGO WA HAPO JUU... wakaamua wahame na kila mmoja akajenga minara yake.. walioamua kushare walishea.... Hii ilipelekea wakose mapato mengi mno

Sasa tukio hilo la kuzima minara ya TTCL usiombe litokee weekend... NDO MTAKOMA
Utahudumiwa Juma3
 
1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
8,496

Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,604
2,000
Hilo shirika limejaa wazee kama wote. Usitegemee kitu hapo. Utakuta mzee anatumiwa meseji anampa mjukuu wake amsomee au akitaka kupiga simu, anampa mtu anamtafutie jina kisha ampigie aongee naye. Wazee kama hawa wapo wengi sana TTCL kwahiyo usitegemee jipya
 
Nina jamaa yeye ni contractor wao kwenye operations zao... anakwambia akiingia mlangoni kwenda kudai malipo ya kazi aliyoifanya, ANAMWAKA SHIKAMOO KUANZIA MWANZO HADI MWISHO.. Na bahati mbaya, wengine wanamcheleweshea malipo kwa kumwambia... MWANANGU, UWE TU MVUMILIVU UTALIPWA..!!! Lini, hapo ndo kasheshe
 
Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
743
1,000
Nina jamaa yeye ni contractor wao kwenye operations zao... anakwambia akiingia mlangoni kwenda kudai malipo ya kazi aliyoifanya, ANAMWAKA SHIKAMOO KUANZIA MWANZO HADI MWISHO.. Na bahati mbaya, wengine wanamcheleweshea malipo kwa kumwambia... MWANANGU, UWE TU MVUMILIVU UTALIPWA..!!! Lini, hapo ndo kasheshe
Ndiyo maana wanatujibugi shit tukiwaelezea matatizo yetu😬😬😬
 
cool d

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
890
1,000
Hilo shirika limejaa wazee kama wote. Usitegemee kitu hapo. Utakuta mzee anatumiwa meseji anampa mjukuu wake amsomee au akitaka kupiga simu, anampa mtu anamtafutie jina kisha ampigie aongee naye. Wazee kama hawa wapo wengi sana TTCL kwahiyo usitegemee jipya
Hahaaa! Walianzia posta na simu wakagawanywa kuwa mashirika mawili enzi hizo wanaajiliwa wasomi wasiojua kusoma na kuandika yaani unajifunzia humo humo ukijua kupokea simu unaitwa manager au fundi mkuu so ujuzi wao ni wa experience na siyo wa kusoma na mwendo wa kubadilisha miaka tu na kujirudisha utoto watu na mvi zao na ajira zikitoka wanawapa watoto wao sasa hapo tusitegemee kitu chochote cha mabadiliko, na wenzao idara za maji hivyo hivyo, angalau aliyeinuka kufumua Tanesco bila lelemama mpaka luku zikapikana angepelekwa huko kwenye hizo huduma tungepata matokeo.
 
KAYAMASKINI

Member
Oct 29, 2016
46
95
TTCL igonjwa mkubwa uliopo inatakiwa kubadilisha sera iliyonayo sasa waje na sera mpya na itakayokidhi mahitaji tulionayo sasa na wachane na ufanyaji wa biashara wa miaka 47 walipokuwa peke yao kwa sasa biashara wanaiona ni mkongo wa taifa wakati pesa zinalipwa na rwanda burundi zinaingia wizarani hapa mh ndugulile kaka yangu ana kazi kubwa ya kuifumua TTCL iwe ya kisasa na kuweka mameja mauzo wa mikoa wanajitambua nini anatakiwa kufanya sokoni asilimia ya mameneja mikoa wengi wakaa ofisi wakula bata tu wanasubili mkongo ukatike wajiandikie posho wakale bata kama mliazisha ttcl mobile kwa kujalibu mlikuwa mjiamini mtawategemea wafanyakazi wawe wateja mapaka limited? Badilikeni bana "ttcl nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano kazi iendelee"sio kucheza beni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom