Recent content by KAWETELE

  1. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Nadhani siyo kweli ile video, kama ni kweli basi ya zamani, maana Madelu siku hizi ana fuga mustachi kama wa nyerere.. mle naona hana ndevu kabisa.. ila kwa kuwa Mange ana sema Hata Hilda ametumika na kina Abduli bila yeye kujijua hapo pana utata..
  2. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu vita vya Biafra!

    uzi ulikosa wachangiaji?
  3. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali ni nani na nini majukumu yake?

    mganga mkuu wa serikali. PROF SUNGUYA
  4. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Polisi Wang’oa namba za magari, madereva waliogoma kuondoa mabasi Stendi ya Magufuli

    na wana nchi wana waangalia tu hao mali ya CCM. si wamtafute Dr. Agonza chap
  5. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

    mama asemewe
  6. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Wewe mlinzi wa hapo hospitali ya mbarali ukome na hio tabia ya kuchungulia wakina mama wakiwa leba

    MLINZI ALISHA ONDOLEWA, NA KUWEKWA MLINZI WA KIKE TANGU SIKU YA MALALAMIKO
  7. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha samia pesa zipo nje , nje . Hakuna yale mambo ya vyuma vimekaza

    na kipindi hiki miradi mikubwa mikubwa ina endelea 1. SGR KWENDA MWANZA, INA JENGWA KWA KASI 2. DARAJA LA JANGWANI 3. BARABARA MBEYA IMEKAMILIKA, LIMEKUWA GREEN CITY 4. HUKU KWETU MANYONI, MAJUMBA YANA JENGWA 5. COASTER ZA MILION 300 NA USHEE 6. BOTI ZA MABILIONI ZINA NUNULIWA 7. INA TANGAZWA...
  8. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    yule bi kizee, lazima aanguke na kukimbizwa kwa waganga
  9. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Rais Trump kaipiga ban CNN, MSNOW/MSNBC kwa kinachodaiwa wanatoa taarifa Feki.. Kwamba hawafai kuaminika

    lakini huyu bibi naye kafungia Vyombo vya habari. Tofauti yake ni kuwa haja Tangaza.
  10. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Emmanuel Nchimbi sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba

    MWAIPOPO NDIYO SPEAKER YAO.. HAPO AKIONGEA NA HABIB MCHANE.. BASI ELEWA TU KUWA NDIYO BASI TENA
  11. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa kuwafanya CCM na wabunge kukosa kauli na Kumuona Mwenyekiti kama Mungu ni Magufuli

    usahaulifu wa watanzania ni mtaji wa wana siasa.. MUANZILISHI Wa utekaji, kupenda kusifiwa ni Jiwe
  12. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    KWA HIYO N yeye Samia hakuwa Popular wakati wa Magufuli
  13. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani Agosti 27, 2026

    inategemena bibi kizee ata amkaje siku hiyo... maana yeye simu moja tu ina tosha kubadili maamuzi
  14. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
Back
Top Bottom