Recent content by kavungwe

  1. K

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Tafadhali msaada wako unahitajika. Nitavipata wapi kwa ruzuku hiyo ya serikali. Mimi nipo Dodoma, asante
  2. K

    CHADEMA tena: Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya ya Magu wafukuzwa na uongozi wa Kanda!

    Huo ni mpango maalumu wa kuandaa mazingira ya Rufaa kama itafikia kusikilizwa. Ni kuhakikisha hakuna kundi Zito hata mmoja anaeweza kusimamia ukweli ndani ya CHADEMA. Mpango huu utakuwa wa maana kama utafanikiwa, lakini pia utaacha makovu mengi ndani ya chama. Kwa mpango huu, 2015 itakuwa na...
  3. K

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Mkuu kwanza nakushukuru kwa taarifa ulio tupatia. Lakini pia kama unafununu ya vitu ambavyo tunaweza kutoa huku kwetu kupeleka huko.
  4. K

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Kazini kwetu kuna mdada na mpongeza sana. Kagundua kua, migahawa ya kazini hapa inatengeneza chakula cha aina moja tu na ambacho baadhi ya watumiaji hawakipendi. Basi kila siku asubuhi anaingia katika gari la wafanyakazi na aina tofauti ya vitafunywa, basi anazichanga kuliko watu wengi wanavyo...
  5. K

    Hotuba ya Mbowe katika Kongamano la Vijana la Miaka 52 ya Uhuru

    . Vijana jaribuni kuwa makini katika kujibu hoja au mashambulizi yote yanayo elekezwa kwa yule unaedhania kuwa yuko bora kuliko hao wengine unaodhania hawako vizuri. Siku zote, kilicho bora ni kile chenye sifa za pekee nzuri kuliko kingine na si chenye sifa zinazo fanana na kingine. Kama...
  6. K

    Zitto Kabwe Asifike katika eneo letu... Zitto asizungumze na watanzania, Period!

    Wakwanza kulaniwa ni yule aliepanga safari kwenda kuwaambia walio mchagua Zito kwamba maamuzi yaliyo fanywa na cc ni sahihi. Cha ajabu leo huyohuyo anamtisha Zito kwa kwenda kujibu maswali ya wananchi wanao hukum kwa kusikiliza pande zote. Na maombi yako yakubaliwe, Amen
  7. K

    Siasa za CHADEMA hatimaye zaanza kutuchosha wanachama

    Chadema ya sasa sio ya zamaani, chadema ya leo yawachaga mbele.
  8. K

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Ni Dr wa ...... Huko kila kitu ndio, no challenges no critics. Siasa haiko hivo babu. You must answers for 5 w's
  9. K

    Dr.Slaa: Zitto anaweza kufukuzwa kabisa

    Mbona ndio maisha yake ya kila siku. Unajua hata hizo document wanazo zunguka nazo Tanzania nzima kumchafua Zito wametengeneza Mnyika na Lema.(sauti huru, Dec 11-13 , 2013)
  10. K

    Mbowe na Slaa Wawajibike au Wawajibishwe?

    Hata hili la kukatisha ziara ya mbunge viti maalumu (demu wake) kwa tamaa zake za kimwili yatosha kuwa sababu ya kujiulu
Back
Top Bottom