Recent content by kausha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la anga la Uganda lavamia kambi za waasi wa ADF ktk jamhuri ya Congo DRC.

    Huko Congo wampeleke Lt General mwakibolwa akamalize kazi aliyoiacha
  2. K

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Tanzania? :kuondolewa kwa Director wa FBI James Comey

    JE TRUMP ANAWEZA KUFANYA KAMA HAYA KWA MKUU WA MAJESHI YA MAREKANI AU MKUU CIA
  3. K

    JamiiForums Tanzania Brother Mo Dewji, seriously??

    Mchonganishi ni yule aliyeweka picha kwenye mtandao, kwa wasifu wa Mo picha hiyo ni lazima ingezua maswali, kama tafrija imefanyika nyumbani kwake haina shida ni picha nzuri na mambo binafsi, lakini kama ni sehemu ya kazi picha imekaa vibaya na haipendezi.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Brother Mo Dewji, seriously??

  5. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha! Mwizi wa pikipiki aua, naye auawa!

    Wasakwe waadhibiwe bila huruma hapa ni kazi tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Makanisa matatu yachomwa moto Bukoba leo Septemba 22,2015

    Mbona makanisa yanayochomwa ni mapya kwa asili ya mkoa wa kagera hayachomwi makanisa makongwe ya Catholic na Lutheran. Tusubiri taarifa tusikimbilie majibu mepesi kwamba waliofanya hivyo ni waislamu, wachunguzwe wao kwanza inawezekana ndani ya makanisa yao kuna tatizo. Tukio hilo sio la...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za Rais kuchelewa kuchukua Maamuzi

    Hata kama zipo sababu milioni nzuri Werema angetangulia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Asumpta Mshama umeutia aibu Mkoa wa Kagera,Tutakushughulikia

    Huyo Binti ni MSAKATONGE
  9. K

    JamiiForums Tanzania PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Nadhani wewe ndiye mwenye haraka kilichokua kikisomwa ni taarifa na vielelezo vimeambatanishwa tusubiri mjadala then unaweza ukaupima uzito na pumba za PAC au tuombe ripoti nzima na vielelezo vyake viwekwe hapa tusome wenyewe.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aguswa na utendaji wa Kinana na pia azungumzia swala la Mawaziri 'mizigo'

    I]"Katika ziara hizo wakati mwingine amekuwa anatumia njia za usafiri zinazoogopesha, amewahi kutumia meli ya MV Songea kutoka mkoani Ruvuma hadi Mbeya, amepanda milima na mabonde kwa magari katika maeneo ambayo ni hatari, lakini lengo likiwa ni kuhakikisha anawafikia wanachama wa ngazi za...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Hata jahanamu nadhani kutakua na nafuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji na siasa za Tanzania pengine hili ulikuwa hulijui

    Tangu uwepo wa yanga ni zaidi ya 60 kati ya hiyo maji ameongoza miaka 4 mbona unayoyasema ni makubwa kuliko umri wake wa uongozi ndani ya Yanga? kama Huna habari ameishatutangazia mkutano mkuu wa uchaguzi may 2014 na yeye hagombei tena, ni wasaa wa kuanza kutafuta nani atajenga yanga baada yake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Tz: Tunawashikilia askari wetu wanne kwa mlipuko wa bomu Soweto

    Mbona kama vile siamini hivi hii ni kweli?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Madiwani 8 waliofutwa uanachama CCM Bukoba kuomba radhi

    Kumbe yalikuwa Majungu?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa FFU - Arusha na polisi wengine watatu wafukuzwa kazi

    hao waliotenda, walioshiriki,waliosaidia, na waliozemebea wote mzala ga nyaja hawastahili kuendelea kuwa askari wa jeshi la polisi, asp bendarugaho aliyeshindwa kupeleleza kesi wa kazi gani jeshini? Huyo insp jamal anayelinda askari wanaobambikia watu kesi anatafuta nini jeshini? Sp giro yeye...
Back
Top Bottom