Recent content by Kaudunde Kautwange

  1. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Nina ndugu yangu alikuwa na the same case.. anyways, sema kwa kuwa yeye ana cheo huko JWTZ, basi yule trafic aliyeweka fine alitafutwa na kulipa deni
  2. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Forex imenifilisi, nauza monitor yangu 🙏 naombeni msaada wenu

    Ukifika kwenye 100k nishtue tufanye biashara
  3. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze: VICOBA na changamoto ya utunzaji wa Kumbukumbu

    Tangazo lenye kuonesha umuhim wa kuhifadhi taarifa, ambalo kimsingi ni sehem ya kujifunza pia. Karibu sana
  4. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze: VICOBA na changamoto ya utunzaji wa Kumbukumbu

    Wana Jukwaa Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa za kukopesheka kutoka kwenye mifumo rasmi ya kukopa, mfano bank. Nakumbuka miaka mitatu (3)...
  5. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Majina ya kibantu yanayofurahisha

    Kaudunde kautwange Kazaura Filafisi Magufuli Tusimenye Jitombashisho Havijawa Ngalalekumtwa Anyimike Andembwisye
  6. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Kero ya mabadiliko yasiyo na mashiko ya ratiba za usafiri za mabasi kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Next time itabidi nitumie hayo yanayojielewa aisee.. Ahsante kwa ushauri
  7. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Kero ya mabadiliko yasiyo na mashiko ya ratiba za usafiri za mabasi kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mkuu, Nafikiri kuna mamlaka zilizokasimishwa kusimamia utaratibu wa ratiba za mabasi, na nafikiri hata hapa Maguful BT zipo. So ujumbe umefika
  8. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Kero ya mabadiliko yasiyo na mashiko ya ratiba za usafiri za mabasi kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Wanajukwaa habari! Leo nimetakiwa kusafiri kuelekea Mikoa ya kusini na Kampuni ya Basi Maning Nice. Ratiba ilionesha tutaanza safari saa 3:30 Asubuhi, ghafla wakabadilisha muda hadi saa 4:00 Asubuhi. Muda ukafika, wakasogeza tena hadi 4:30 Asubuhi. Hii ni kero na inaharibu ratiba za wasafiri...
  9. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga

    Hakuna rafiki hapo kaka!!
  10. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

    Mkuu, Mi nimependa jinsi ulivyohitimisha, kwamba kama kukusema tukuseme tuu, ila umeshamla mdogo mtu.... umetisha sana
  11. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mifumo

    Mkuu, Kuanzisha familia sio kama ma.ta.ko kwamba kila mtu anayo...
  12. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Kuna App inashinda hii..?

    Kwamba unataka tukuulize "inaitwaje"!??
  13. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

    Unawasema wenzako wakati na wewe upo kwa Mjomba wako.... Its not done until its done
  14. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

    Mkuu, Kati ya hao wake wawili, kwa taarifa ulizonazo wewe, yupi Mwenye cheti cha ndoa na yupi mwenye talaka??
  15. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Ohoo! Tayari huko ni, mbona umeme wamekata?

    Ahsante mkuu kwa hili pandiko. Kwa kweli anunue umeme
Back
Top Bottom