Recent content by katuni

  1. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Mkuu, soma vizuri hapo juu. Nimesema strategy yangu naweza kutrade pasipo ku deal na chart kabisa kabisa. Chart huwa naitumia ku trade NEWS tu
  2. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Binafsi namshukuru sana sana sana huyu jamaa. Sana sana. Hakika huyu ndo kanifungulia dunia
  3. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Mkuu, kwa hii strategy yangu, nikiweka oda huwa ninajua kabisa kwamba nikiingia kwa hii Entry hasara itakija itaenda hadi sehemu fulani na HAITAZIDI. Na lazima iwe hivyo. After that ni red inakuwa BLUE
  4. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Daah! Iam sure, hii niliyoigundua mimi haiwezi kufanana na unazotumia. Amini mkuu, na sikuipata kirahisi hii strategy.
  5. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Sawa mkuu wangu. Ahsante
  6. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Mkuu, ubarikiwe sana
  7. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Ahsante mkuu
  8. katuni

    Tumia njia hii kupata pesa kwenye forex

    Habari wapendwa. Mimi ni kati ya watu ambao tupo jf na tunaonaga mara kwa mara watu wakiibeza biashara ya forex. Tunachokifanya tunaishia kusoma comments na kutulia tu. Mnaoamini kwamba forex ni magumashi aisee endeleeni kuamini, na mnaoamini kwamba hii ni BIASHARA endelea kuamini na kujituma...
  9. katuni

    INVETER 300 Watt NAUZA

    *INVETER* *INAUZWA* Ni inveter ya kisasa kabisa. Ni ya Watt 300. KAZI YA INVETER ni kubadili mkondo wa umeme wa DC ( umeme wa betri ya gari au ya solar ambazo zina volt 12 ) na kuwa katika mkondo wa umeme kama tanesco. Hivyo ukiwa na hii mashine ya INVETER kisha ukawa na Betri hata kama dogo...
  10. katuni

    Hatimaye nimemjua niliyetaka kumjua. Je, nini nifanye?

    mkuu, nashukuru sana. ubarikiwe
  11. katuni

    Hatimaye nimemjua niliyetaka kumjua. Je, nini nifanye?

    Sawa ndugu yangu mimi muongo nashukuru
  12. katuni

    Hatimaye nimemjua niliyetaka kumjua. Je, nini nifanye?

    Ndugu zangu habari zenu. Naomba niwaombe ushauri juu ya kilichonitokea........ Nilimaliza chuo miaka minne iliyopita. Kama unavyojua maisha yanavyokuwa magumu mtaani baada ya maisha ya chuo. Nilituma maombi sehemu mbalimbali ila kote niliambulia patupu. Hata hivyo sikukata tamaa. Nikaendelea...
  13. katuni

    Application yakutoa sauti kubaki beat kwenye audio

    mkuu hizo hapo si ni computer?. Nadhani mleta mada yeye anataka app ya simu
  14. katuni

    Application yakutoa sauti kubaki beat kwenye audio

    Singplay app ni nzuri. ila sauti haitoki yote kwa 100%
  15. katuni

    Ni smartphone Gani nzuri nitaipata kwa hii hela yangu

    ongezea 50 nikupe Huawei Ascend P6 mpya kabisa hata miezi 3 haina. Nakupa na kila kitu chake
Back
Top Bottom