INVETER 300 Watt NAUZA

katuni

Senior Member
Dec 8, 2012
151
225
*INVETER* *INAUZWA*

Ni inveter ya kisasa kabisa. Ni ya Watt 300.

KAZI YA INVETER ni kubadili mkondo wa umeme wa DC ( umeme wa betri ya gari au ya solar ambazo zina volt 12 ) na kuwa katika mkondo wa umeme kama tanesco. Hivyo ukiwa na hii mashine ya INVETER kisha ukawa na Betri hata kama dogo tu la gari utaweza kuwasha tv, friji, taa, redio.laptop....n.k

INVETER ipo katika hali nzuri kabisa. bado mpya fulani hivi.

bei ni nafuu tu 100,000

nakuretea na unatest kabisa. no bla bla bla...

0629254697
au 0759573839 Napatikana Dar ( Gongo
 

Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom