Recent content by katule

  1. K

    Jamani mwenye taarifa kuhusu flying over za magfuri zimefikia wapi?

    mh magufuri alihaidi kuwa kufikia 2015 sehemu zote za makutano hasa akataja ubungo,tazara na magomeni kuwa atajenga hizo barabara za juu sasa mbona kimya saiz naona mradi wa mabasi yaendayo kasi ndo umepamba moto au nao nguvu ya soda jamani haadi nyingi utekelezaji zirooooo!!
  2. K

    Waraka wa I.G.P kwa Askari wote Tz

    ni vizuri tungewekewa huo waraka tungechangia vzr!! mtoa mada jitahidi kuupata ili u defend thread yako hatupingi ila ushahidi muhimu ukweli wa kosa haupatikani kwa mkosaji hivyo police ukiwauliza huwezi pata ukweli kamili coz wamefundishwa usiri na wamehapa kutotota siri kwa mtu asiyehusika.
  3. K

    Kikwete ashusha bei vifaa vya ujenzi

    mm niko kivule kata ya msongola tarafa ya ukonga cement 16000 uyo atuambie bei iyo inapatikana sehemu gani? kwani tunaitaji kujuwa mie naona kwa serikali hii ni kitu amabacho hakiwezekani mwaonaje bei ya petrol?
  4. K

    Wagombea wa Urais 2015...

    :flypig: chadema atasimama dr wa ukweli ccm huwezi juwa leo mpaka wapigane zengwe kwanza ndo apatikane wa kugombea saiz nimapema sana.
  5. K

    Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    :flypig: Jamani wana jf naomba kuuliza kifurushi cha internet cha airtel cha 2500 bado kipo au kimeondolewa najaribu kujiunga inakataa.
Back
Top Bottom