Recent content by katuhu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ajali Nzega: Magari manne yagongana, Watano wafa papo hapo

    C kweli mbona yy alikuwa budget dar acheni kuzushiana vifo jamani. Yupo mzima hiyo hr
  2. K

    JamiiForums Tanzania Chumba kimoja kinapangishwa (Ubungo external near Mabibo hostel)

    Je kina ukubwa gani. Nielekeze leo by saa kumi nikakicheki au kimeshachukuliwa tayali? Je mwenye nyumba anaishi hapo hapo na kuna wapangaji wangapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuacha mke wangu

    We acha tu. Kwa uchunguzi wangu ikatokea unakwenda kaa ukwen kwa muda kidogo iwe ni kujifungua au la kama hujafunga ndoa na huyo bwana asilimia ni chache mno za kuharalishiwa ndoa cjui kinatokeaga nn jamani. Ndio yanamkuta ss bibie huyo na lazima atatoka hapo tu c unajua upendo wa mam kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuacha mke wangu

    Mnawahalibu watoto wa wenzenu kwa kuwazalisha then mnawatafutia sababu za kuwaacha c vyema hata kidogo, hebu fikiria kama huyo dada angekua ni mdogo wako anataka fanyiwa kitu kama hicho ungejisikiaje? Wanaume wawe na huruma some times wanawake nao ni binadamu wenye miili na roho. Mmmh ni sheedaaah
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sitaki tena kupaa angani

    Unaabudu wapi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

    Mmh balaa. But c vizur
  7. K

    JamiiForums Tanzania Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

    Ushaur gan huy
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baraka Obama lazima alitafutiwa huyu Mwanamke!

    She is buti
  9. K

    JamiiForums Tanzania Baraka Obama lazima alitafutiwa huyu Mwanamke!

    Haswaaaaa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vyumba 2 vinapangishwa Kibo Ubungo

    Kama laki mi kesho nikupe cash miezi sita
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Ndio muache kuoa bila mpangilio vumilianeni mtunze watoto wenu na c mama wa kambo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Wachache mno
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Very few
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyumba 2 vinapangishwa Kibo Ubungo

    Sio laki kwa mwezi be Sirius kwa rent mi nahitaji ila uwezo wangu laki na nipo baruti
Back
Top Bottom