Recent content by katonga

  1. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baby nipo nakuja na taksi na sijalipa, ananidai 20,000

    Endelea hvyo hvyo baada ya miaka kumi utanipa mrejesho sawa kaka
  2. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wanaume maarufu

    Endelea tu hvyo hvyo utapa majibu yako
  3. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na mpenzi mwenye haiba hii, kujenga uhusiano imara ni mashaka

    Umenigusa nafanana hv aisee!
  4. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Utakuwa mpiga ramli siyo bure
  5. katonga

    JamiiForums Tanzania Jina gani zuri ukifupisha

    Mwasa=mwasamwiga
  6. katonga

    JamiiForums Tanzania Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Hata mimi walinitumia jana saa kumi na nusu jioni, nikawatoa nyota zote. Km gundu, na android yangu ikavuliwa kupitia dirishani usiku.
  7. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupa kule, hata iweje sinunui mbuzi kwenye gunia

    Ok!pole yageuze hayo maswali kwa nafas yako
  8. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupa kule, hata iweje sinunui mbuzi kwenye gunia

    Sina sababu ya kuendelea nawe amin hvyo ila kama hujaoa na nimuumin hyo usemayo jua tu mchumba wako watu wapiga yakhe!na kama umeoa hapa ninongoneze mkeo ulimkuta b.i.k.ra?
  9. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupa kule, hata iweje sinunui mbuzi kwenye gunia

    Umebadilisha maada mungu kaingiaje hapa jibu hoja ili twende sawa
  10. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupa kule, hata iweje sinunui mbuzi kwenye gunia

    Dnt make comparison ya kale na leo by whatever means
  11. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupa kule, hata iweje sinunui mbuzi kwenye gunia

    Kaka wazo lako zuri ila angalia usije ingia chaka kwa ulimwengu wa sasa tia mimba tangaza ndoa otherwise unaweza angukia kwa tasa dada zetu wanatoa mimba sana mm nakupa pole kama si muumin wa hili
  12. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaume wengi wenye vitambi ni wavivu, wazembe na watu wa hasira...

    Mkuu haina haja ya kumchallenge mtoa maada kias hichi.tukubali tu vitambi noma na hatuna budi kuvimaliza
  13. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda kaka wa x boy wangu

    Fundo moja tu.........!jiandae na mdogo mtu kwa mara nyingine
  14. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake bwana!

    Namashaka na ww loh....!
  15. katonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Karibu
Back
Top Bottom