Naombeni msaada nina mtoto wangu ana miaka sita, hivi karibuni ameanza kutokwa na danu puani hasa nyakati za usiku akiwa amelala.Nilimpeleka hospitali Dokta akamwandikia dawa anywe kwa muda wa siku tano ,dozi amemaliza lakini tatizo linaendelea.Kabla damu hazijatoka mwili huwa wa moto hasa...
kama maelezo yaliyotolewa hapa hayakutoshi nenda kachambe ukalale usituchoshe na upuuzi wako,we huna umuhmu wowote wa kujua historia ya huyo mtu na usitafute umaarufu wa kipumbavu.Kama ulivyosema hakuhusu ndo mana humjui.
Udini umekujaa mawazoni mwako fanya yako mengine hayakuhusu , fikra mgando ndo ulizokuwa nazi wenzako wako busy kuwaza mambo ya maana we uko na udini punguani mkubwa we!
Ni kweli kabisa Ustaz Siraji amefariki na mazishi yamefanyika Dar.Alichokuwa anaumwa sifahamu ila aliugua muda kidogo na alishapata matibabu India lakini safari yake ilikuwa iishe leo na ameshatangulia mbele ya haki .
Usijali sana kwamba hujawahi kukutana na kitu ambacho unaweza kuchangia kama ushamba , yani hivi ulivyochangia kwenye huu uzi tayari nishajua uko mshamba kiasi gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.