Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
- #21
Mtoa mada sijui alikuwa na maana gani kuambatanisha hii picha ya mwanamke.
Kwani iliwekwa hapa na kuelezwa kuwa ni tukio lililotokea Mbeya, ni mwanafunzi wa Chuo fulani huko.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Taswira za picha zina mahusiano yanayoakisi uchawi. Waathiriwa na utendaji wa publishing hata kama aliacha kazi miaka kadhaa iliyopita taaluma hiyo haiwezi kumtoka kwani hupenda kuleta habari na vielelezo vyenye kusaidia kuakili hali halisi.
Mleta mada alichofanya ni kuambatanisha picha hizo na source yake ili mweza kuwa na kumbukumbu ya matukio mengine kama hayo, kwani si wote wanaoweza kupitia JF au vyombo vingine kusoma au kuona matukio kama hayo. Nadhani nimeeleweka, la sivyo nipe udhuru wako wa kutoelewa mahusiano ya picha hizo na tukio la mwalimu kukutwa anakoroma usingizi mzito kibaoni mwa Shule.
Kama mnakumbuka kuna mwalimu wa sekondali alipatwa na yayo hayo huko huko mikoa ya kusini alipokuwa anakoroma usingizi kwenye kibao cha shule wakati kumekucha. Ametokaje nyumbani mwake hata yey hajui. Hii ndiyo hali halisi.