Recent content by KatibuKataMkata

  1. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Haha hahaha hahaha hahaha !!!! Amemwaga Mboga Mnamwaga Ugali ? :D :D :D :D :D
  2. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio ndege za Magufuli

    Wanasiasa Bana !! Hawa ndo watakao panda kwenye hiyo ndege na Viwembe wachane seat ilikuonyesha ndege ni Used, Wanataka anunue ndege kubwa inatua kwenye viwanja vingapi nchi hii ? hii inatua viwanja karibia vyote vya mikoa, watu wanaanza kwa biashara ya ndani kisha ndio unajitanua !! zile route...
  3. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Magufuli anawa-prove wrong waliodai tatizo ni mfumo na sio mtu

    Awaweke wa CDM ?
  4. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Umepoteza Container nini ? haha haha haha haha haha haha haha !!!!
  5. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Kumbuka Makontena nayo yamesitishwa kupotea !!!! "level playing field"
  6. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Wakalipe Kodi kwanza kisha ndo wakae wamjadili Rais !!! Hayo ndo makundi ya majangili kwenye Chama ambao wanatakiwa kuondolewa !!! wengi wao wanaotaka kumjadili Rais wanaona Deal zao zimeingiliwa !!!:lock1:
  7. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Leo Wamarekani waliokwambia hivyo wanakopa kwa wajamaa hao hao huko China !!!
  8. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Kwahiyo amekuja na damu za watu mikononi huyo !!! :shock:
  9. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Pongezi sana !!!! ATC ndege 1 wafanyakazi 200 !!!!:lock1:
  10. KatibuKataMkata

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Mi nahisi kwa mfano ule wa ATCL ndege 1 wafanyakazi 200 !!! Bado sijaona Kosa hapo kupunguza wafanyakazi !! :lock1:
Back
Top Bottom