Recent content by KATIBUA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Onyo kama moyo wako mwepesi usiangalie hii picha mtoto afanye masihara na mtoto mwenzie amkata kichw

    Mbona kama ngozi ya kichwa na mwili tofauti!?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

    Diamond Platinum funga kandambili hao warudi kuchezea vipigo ligi ya Bongo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kali ya 28 Feb

    kama kangaroo vile
  4. K

    JamiiForums Tanzania Haya huyu kijana ndio anatumia Teknohama ya kibongo bongo ipe maneno hii picha

    Ngoja na mimi nijaribu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hapa ni mawazo gongana

    Vinafaa kwenye soka la ufukweni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hapa ni mawazo gongana

    Vinafaa kwenye soka la ufukweni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepandika matangazo ya NIKON Magomeni, ashugulikiwe

    kuna makosa kibao sio hilo tu! Msameheni amepiga viroba.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari, Picha mbaya!: Kwa nini askari wetu wanadhalilisha miili ya binadamu?

    Unyanyasaji huu wa wahalifu tuanze kuupinga kwetu raia ndio tuje kwa polisi. Wahalifu wanapigwa, wanachomwa moto na raia
  9. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepandika matangazo ya NIKON Magomeni, ashugulikiwe

    Oyeeeeeeeeeeeee
  10. K

    JamiiForums Tanzania VPL: Simba SC Vs Azam FC

    Mashabiki wengi wa simba naona wamejawa nyuso za furaha. Mashabiki wa Simba Ukawa nao wapo upande wao ule ule wa juani.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Upi mtungi wa gesi mzuri kati ya hii?

  12. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepoteza huu Mzigo tafadhali anitafute haraka

    Baada ya hapo malizia hivi: Binti mrembo aliyepoteza pochi na mimi kumrudishia anataka ndoa jf nishaulini!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Upi mtungi wa gesi mzuri kati ya hii?

    Watu humu Jf kwa kujipandisha mimi natumia huu mwingine ule utadhani gesi ziko tofauti! Sisi wa "bei ya mkaa" tupo kimya
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mbaroni kwa mapenzi ya jinsia moja

    Huyu msagaji Maua anazidi kututukanisha wanaume wa Dar kwamba atuwaridhishi, Wakulima wakiona hivi ndio wanapata neno!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mbaroni kwa mapenzi ya jinsia moja

    Hii michezo imeingia sana uswahilini usikubali urafiki wakupitiliza wa mkeo na shoga ake mpaka chumbani kutoka out kataa
Back
Top Bottom