Aliyepandika matangazo ya NIKON Magomeni, ashugulikiwe

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Habari? simba hoyeeeee, azam hoyeeeee.

Ukipita toka magomeni mapipa to jangwani, kuna ukuta mzuri sana uliojengwa na Starbag unapendezesha sana sehem hiyo, katikati barabara, lakini coy ya kuuza camera za NIKON imejaza kuta zote mbili matangazo yake mpaka kutoa maana ya kuta zile.

Naomba mamlaka ya kiwilaya/Jiji mmshungulikie huyu mhusika na abandue haya matangazo yake, tupende usafi na tutangaze sehemu sahihi.

Asanteni!

Chanzo: Nimepita hapo sasa.
 
Tupiako kapicha basi hili tuweze kutoa michango yetu jamvin bila upendeleo
 
Tupiako kapicha basi tuchangie bila upended jamvin
 
Tupiako kapicha basi hili tuweze kutoa michango yetu jamvin bila upendeleo

Nilipita pale boss nikiwa kwa gari, picha uhitaji kushuka na sehem imeka vibaya, sikuweza kupiga picha, pls aliyepiga picha msaada kwa hilo.

But tatizo lipo.
 
Habari? simba hoyeeeee, azam hoyeeeee.

Ukipita toka magomeni mapipa to jangwani, kuna ukuta mzuri sana uliojengwa na Starbag unapendezesha sana sehem hiyo, katikati barabara, lakini coy ya kuuza camera za NIKON imejaza kuta zote mbili matangazo yake mpaka kutoa maana ya kuta zile.

Naomba mamlaka ya kiwilaya/Jiji mmshungulikie huyu mhusika na abandue haya matangazo yake, tupende usafi na tutangaze sehemu sahihi.

Asanteni!

Chanzo: Nimepita hapo sasa.

Ayepandika/aliyebandika..
 
Ni kweli matangazo yake ni uchafu. Anatanga camera za Nikon na aliyoiweka ni D7100. Na namba yake ya simu 0655 221 166. Kama Manispaa ya Ilala haijaanza kushighulikia sass, kuna dalili ya kuta zile kuchafuliwa na matangazo siku za usoni.
 
Wakazi wa Dar ni wachafu sana.....

kwa pembeni mwanzoni wameamua kuanzisha jalala la taka
 
Kuanzia sasa waanze kamata wale wanaotanganza matangazo
 
Back
Top Bottom