Upi mtungi wa gesi mzuri kati ya hii?

Upi mtungi wa gesi mzuri kati ya hii?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari za saizi wadau...
Niko njia panda hapa...nataka kununua mtungi wa gesi...vp ni kampuni gani iko vizuri zaidi kwa upatikanaji wake Tanzania...hapa nilipo kuna oryx,manji na mihan...ili hata nikihama nisipate usumbufu wa kubadilisha mtungi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mihan wako vzur, karibia mikoa yote wanatoa huduma
 
Nakushauri Mihan, hata bei ziko stable...hao oryx kila siku bei zinapanda na kushuka
 
Mi natumia lakegas naona ni nafuu zaid na inapatikana mda wote hata saa nane za usiku ukienda vituo vya lake oil vya mafuta vinafanya kazi masaa 24 unapata mitungi
 
Nilianza na orxy ulipoisha ninakoishi haipo nikalazimika kuhamia mihans ila kiukweli Qrxy ni nzuri sana kuliko mihans,kwani moto wake ni mkali sana kuliko mihans
Mi natumia lakegas naona ni nafuu zaid na inapatikana mda wote hata saa nane za usiku ukienda vituo vya lake oil vya mafuta vinafanya kazi masaa 24 unapata mitungi
 
Kwa mimi nilikua natumia oryx tu nilipohamia lake gas kiukweli ni nzuri sana na ni bei rahisi hata moto wake ni mzuri na ujazo wao upo vizuri sana mtungi wa kg 15 natumia mwezi na wiki ambayo oryx ilikua haifikishi mwezi
 
Watu humu Jf kwa kujipandisha mimi natumia huu mwingine ule utadhani gesi ziko tofauti! Sisi wa "bei ya mkaa" tupo kimya
 
mkuu unamatumizi mabaya sana khaaaa huwa unachemshia makande au
 
Watu humu Jf kwa kujipandisha mimi natumia huu mwingine ule utadhani gesi ziko tofauti! Sisi wa "bei ya mkaa" tupo kimya

tatizo ni bei ya mkaa wewe sema tu hata kama uliuona kwa jirani mkuu.... habar ya asubuh:beer:
 
Back
Top Bottom