Well said hapo juu. Ila i think wamebadili tayari kichwa cha ATCL sasa ni kazi yake kuhakikisha mambo hayajirudii. Kama ni kupunguza wafanyakazi ili kwendanda na mahitaji ya kampuni ifanyike hivyo. Nazani MD mpya mteule ndio ataweza fanya hii kazi yote tumpe muda halafu, akikosea tunamkaanga...
Hili ni tatizo kubwa sana na wamelishindwa kabisa. Tumia mtandao mwingine tu maana hapa wameshindwa kabisa boresha hii adha ya mpesa. Ukikosea na inakuwa wkend na huna hela imekula kwako Kama unatumia voda
Acheni kutumia social media vibaya kwa manufaa ya uchochezi, Hizi ni mbili tofaui kabisa haziendani kabisa. Nasema TZ hi hatutaweza hata siku moja pigana kwa ajili ya udini. Sisi tunapendana hatuko wanyama kama nchi nyingine. Maneno kama haya yanapita tundu moja la sikio na yanatokea linguine...
Huu wizi si mzuri kabisa, jana simu yangu ilibaki 9MB hazishuki na siwezi kujiunga na kifurushi kwasababu bado nina 9mb,
na hapo hapo walikuba 9000 yang wa muda a dakika moja na ndio ushituka nikachomoa line. na kuweka nyingine ili niweze pata mawasiliano, mpaka sasa sijapata majibu.na sio mara...
naunga mono hoja please warudie ili tutoe na copy za cd tutatumie wenzetu walioenda kwenye mkutano wa katiba maana sizani hizi data kama wanazo. wangekuwa nazo wote wangerudi manyumbani kwao. au wangeunga hoja ya ukawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.