Recent content by Katekista

  1. Katekista

    Dodoma: Serikali yapiga marufuku biashara ya majeneza mitaani, yasema ni kuwatia hofu Wananchi na kuwaogofya

    Nafikiri ingekuwa sahihi kupiga marufuku majeneza yanayouzwa karibu na hospitali nayo yauzwe mita 500 kutoka hospitali.
  2. Katekista

    Mgao ujao wa umeme…

    Na kwanini hilo zoezi liwe la nchi nzima?
  3. Katekista

    Telecommunications.(mawasiliano)

    Na minara ya ttcl kwani ina rangi gani?
  4. Katekista

    Telecommunications.(mawasiliano)

    Nashukuru, kwa hiyo unataka kusema sababu ni kuonekana tu? Taa ile nyekundu sawa ila haya mamilingoto ya chini ddah! Ngoja nipate na mawazo mengine.
  5. Katekista

    Telecommunications.(mawasiliano)

    Ngoja waje watuambie.
  6. Katekista

    Telecommunications.(mawasiliano)

    Hivi hakuna special color code za kila mtandao wa simu? Upande wa minara yote nguzo zake naona rangi nyekundu na nyeupe. Nitajuaje kama ni mnara wa tigo, airtel au vodacom?
  7. Katekista

    Mheshimiwa Rais anatupa milion 600 za elimu Bure

    Hizi ni swaga za wateule kutetea matumbo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Katekista

    Kwa uzushi wa gazeti la Tanzania daima wa jana likifungiwa napo litalaumu!?

    Watakuwa Walisahau Jana waliandika nini. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Katekista

    Diwani CHADEMA kata ya Daraja Mbili atiwa mbaroni akiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani

    Mboga za majani wako wapi walitolee ufafanuzi hili? Au limewashika jinsi wanavyoumbuliwa?
  10. Katekista

    YAMETIMIA: Lissu atembelewa na viongozi waandamizi wa Umoja wa Ulaya(EU) hospitalini Ubelgiji

    Kweli ww magonjwa mtambuka yaani unaumia hata mgonjwa anapotembelewa.
  11. Katekista

    YAMETIMIA: Lissu atembelewa na viongozi waandamizi wa Umoja wa Ulaya(EU) hospitalini Ubelgiji

    Mboga mboga mbona mna maneno magumu yasiyo na staa? Nyie ni watu au maharamia? Yaani mtu kuleta taarifa za mgonjwa nyie mko kwenye chama duh!
  12. Katekista

    CCM yawateua Dkt.Godwin Mollel kugombea Ubunge Siha na Maulid Mtulia kugombea Kinondoni katika Uchaguzi mdogo Januari 17

    Na kama wananchi watawachagua tena licha ya kuwakana na kumkubali mtu mmoja huyo wanayemuunga mkono. Lazima watu wajiulize dhamira yao halisi ni ipi?
  13. Katekista

    Paul Kerra: Kiongozi wangu Zitto Kabwe usituyumbishe

    Ningejua aliyetoa Uzi ni kibaraka Wa Lumumba hata nisingejihangaisha kuusoma. Eti sirikali imefafanua uchumi kwa hoja! Zipi hizo? Au ndio kununua grease?
Back
Top Bottom