whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,572
- 4,455
Kwani ACT ilishajitenga na CCM [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nani kasema zitto ni mpinzani??? ACT haijawahi kuwa wapinzani ila haibadilishi ukweli kuwa wamepatia kususia uchaguzi na kuwaunga mkono UKAWA. Vilevile huyo anayekosoa sio mpinzani kifikra sababu anapinga yale ambayo wapinzani wanajaribu kuyabadilisha kwa mwaka zaidi ya 20 sasa!!!Opposition ni fikra, fikra za kususia uchaguzi, fikra za kushiriki uchaguzi, zote hizo ni fikra, wote hao ni wapinzani maana wanataka mabadiliko..
Fikra za upinzani wa fulani anapitaka jambo fulani ndio sahihi na upinzani wa mwingine sio sahihi.
Wakati wapinzani wakitoka bungeni yeye alibaki, Leo eti ni mpinzanii, kesho unaweza usiwe mpinzani japo Leo ni mpinzani bila kujali kama mabadiliko yametokea au la.
Bora unyimwe mali lakini sio akili
Nani kasema zitto ni mpinzani??? ACT haijawahi kuwa wapinzani ila haibadilishi ukweli kuwa wamepatia kususia uchaguzi na kuwaunga mkono UKAWA. Vilevile huyo anayekosoa sio mpinzani kifikra sababu anapinga yale ambayo wapinzani wanajaribu kuyabadilisha kwa mwaka zaidi ya 20 sasa!!!
Ukiwa muongo kama mwenyekiti usiwe msahaulifu kama mtoa uzi. Mwanachama wa Act kisha unasema chama chake. Ni zito ndiye aliwakurupusha watu wa kupika takwimu.*KIONGOZI WANGU ZITTO KABWE USITUYUMBISBE*
Anaandika Paul Kerra mwanaACT Kinondoni.
Nimesikia leo kiongozi wangu wa Chama amezungumza na wanahabari.Kwa niliyoyasikia aliyoongea nimezidi kuona kiza mbele ya chama.Nitatoa mifano:
1.Kwanza mimi ni mwanachama ambaye kila siku niko karibu na tawi langu sijasikia tukiulizwa ili kutoa maoni juu ya maamuzi magumu ambayo tunashangaa tu yametangazwa.Haujaja waraka wowote kwa wanachama.Hii ndi demokrasia ya kuendesha chama?
2.Nasikitishwa Zito analalamikia Demokrasia wakati ndani ya Chama sasa ni kama vile nafasi za uongozi wa juu kwa sasa anazishikilia mwenyewe zote na ndiye mwamuzi wa kila kitu akiamua mkutano upi ukae upi usikae na kuchagua agenda zake. Nafasi ya matawi haipo.
3. Nasema hivi kwa sababu ni wazi tamko la kususia uchaguzi si la Chama sisi hapa ktk jimbo letu kuna mgombea wetu makini msomi na mwenye maono tulishamwandaa...tamko la kutoshiriki uchaguzi kapata wapi uhalali?
4.Nimeona anasimamia mambo yasiyo na tija mara IMF mara uchumi.Hafanyi utafiti anakidhalilisha Chama.Juzi Serikali imefafanua kwa hoja mambo hayo yeye anaropokaropoka tu na kutupa wakati mgumu kujibu hoja.Kwa sasa hatujui maoni yake binafsi na yale ya Chama ni yapi.
4.Ameonesha udhaifu mkubwa kuungana na Ukawa kususia uchaguzi wa marudio.Kiongozi Zito sio mtu wa kuaminika tena ni mnafiki...imetuuma sana wanachama. Leo anaungana na Ukawa watu aliopata kuliambia Taifa kuwa ni "walaghai wakubwa?"
5.Ametulaghai wafuasi wake na wanaomfadhili nje ya nchi kuwa eti Demokrasia inabanwa.Naanza kuamini kuna.mambo yake binafsi yamebanwa.Hii ilikuwa fursa ya chama kwenda kwa wananchi na kufanya siasa unaikataaje.Tunaikimbiaje kwa hoja dhaifu hivi?
6. Leo anajifanya kuguswa na maslahi ya wafanyakazi wakati Chamani kwake kunawaburuta watendaji wake...wako hoi na haki zao zinabanangwa.Niko hapa watendaji wako hoi na hakuna hata mawasiliano na makao makuu.
Inauma sana.
mkuu,yale anayoongea jpm waga ni ya chama au yakwake binafsi?...mto ngono.....katerero....wanawashwa washwa nk?Tena muongeze na hili swali je chadema walifuta ile kauli ya kuita ACT ni CCM B na je walishaijibu ile barua ya kuomba kujiunga na ukawa!
Nani kasema zitto ni mpinzani??? ACT haijawahi kuwa wapinzani ila haibadilishi ukweli kuwa wamepatia kususia uchaguzi na kuwaunga mkono UKAWA. Vilevile huyo anayekosoa sio mpinzani kifikra sababu anapinga yale ambayo wapinzani wanajaribu kuyabadilisha kwa mwaka zaidi ya 20 sasa!!!
Sasa mnalazimisha mawazo yenu yachukuliwe mtu unakurupuka kusema hatuna msimamo kisa zitto tulikosana naye nakuuliza wapi nimesema zitto kaingia UKAWA au anahesabika kama mpinzani???Mngekuwa mnaelekezwa halafu angalau mnafanyia kazi ya kuona ukweli na usahihi wa mnayoelekezwa msingekuwa mnafanywa wajinga kiasi hiki
Yaani serikali ya Tanzania ni ya ajabu kuliko ajabu zote unazozijua. Hii ni serikali iliyoundwa na ccm, inaongozwa na wana ccm. Ina vyombo vya mabavu na vya sheria chini yake. Cha ajabu sasa; inakamata viongozi Wa ccm wakiwemo wabunge na viongozi Wa jumuia za chama kwa tuhuma za rushwa lakini katu hawawakamati viongozi Wa upinzani kama huyu Zitto wanayemtuhumu kuhongwa na mashirika ya Umma. Amazing!!
Mipesa na zawadi kedekede alizokuwa akipokea pindi akiwa mwenyekiti wa kamati ya hesabu ya mashirika ya umma imeminywa na Magu 'uongozi wa awamu ya tano'
Kwanini usijiunge na Mgando sjui msando, mumuunge mkono Uchwara tu*KIONGOZI WANGU ZITTO KABWE USITUYUMBISBE*
Anaandika Paul Kerra mwanaACT Kinondoni.
Nimesikia leo kiongozi wangu wa Chama amezungumza na wanahabari.Kwa niliyoyasikia aliyoongea nimezidi kuona kiza mbele ya chama.Nitatoa mifano:
1.Kwanza mimi ni mwanachama ambaye kila siku niko karibu na tawi langu sijasikia tukiulizwa ili kutoa maoni juu ya maamuzi magumu ambayo tunashangaa tu yametangazwa.Haujaja waraka wowote kwa wanachama.Hii ndi demokrasia ya kuendesha chama?
2.Nasikitishwa Zito analalamikia Demokrasia wakati ndani ya Chama sasa ni kama vile nafasi za uongozi wa juu kwa sasa anazishikilia mwenyewe zote na ndiye mwamuzi wa kila kitu akiamua mkutano upi ukae upi usikae na kuchagua agenda zake. Nafasi ya matawi haipo.
3. Nasema hivi kwa sababu ni wazi tamko la kususia uchaguzi si la Chama sisi hapa ktk jimbo letu kuna mgombea wetu makini msomi na mwenye maono tulishamwandaa...tamko la kutoshiriki uchaguzi kapata wapi uhalali?
4.Nimeona anasimamia mambo yasiyo na tija mara IMF mara uchumi.Hafanyi utafiti anakidhalilisha Chama.Juzi Serikali imefafanua kwa hoja mambo hayo yeye anaropokaropoka tu na kutupa wakati mgumu kujibu hoja.Kwa sasa hatujui maoni yake binafsi na yale ya Chama ni yapi.
4.Ameonesha udhaifu mkubwa kuungana na Ukawa kususia uchaguzi wa marudio.Kiongozi Zito sio mtu wa kuaminika tena ni mnafiki...imetuuma sana wanachama. Leo anaungana na Ukawa watu aliopata kuliambia Taifa kuwa ni "walaghai wakubwa?"
5.Ametulaghai wafuasi wake na wanaomfadhili nje ya nchi kuwa eti Demokrasia inabanwa.Naanza kuamini kuna.mambo yake binafsi yamebanwa.Hii ilikuwa fursa ya chama kwenda kwa wananchi na kufanya siasa unaikataaje.Tunaikimbiaje kwa hoja dhaifu hivi?
6. Leo anajifanya kuguswa na maslahi ya wafanyakazi wakati Chamani kwake kunawaburuta watendaji wake...wako hoi na haki zao zinabanangwa.Niko hapa watendaji wako hoi na hakuna hata mawasiliano na makao makuu.
Inauma sana.
Tena muongeze na hili swali je chadema walifuta ile kauli ya kuita ACT ni CCM B na je walishaijibu ile barua ya kuomba kujiunga na ukawa!
huyo maalim historia yake unatufanya hatuijui,kwa nini mnakuwa wakali kuto kumbusha ya nyuma.yeye si ndo aliyekubali kuwa kipindi kile.kukubali matokeoMtoe maalim hapo huyo ni mpinzani haswaaaaa ccm wasingehangaika naye
Sasa hilo linamfanya kuwa CCM B?? Maalim alikubali sababu ya SUK wananchi walitaka iwe ivo so hta kma angeshinda maalim bado shein angekuwa makam na maCCM wangetoa nusu ya baraza la mawaziri so ili kuleta maridhiano ilimlazimu akubali na wwe unajua hilo ndio maana mzee Nasoor moyo alitumwa ambembeleze akubali matokeo ili SUK ianze mara mojahuyo maalim historia yake unatufanya hatuijui,kwa nini mnakuwa wakali kuto kumbusha ya nyuma.yeye si ndo aliyekubali kuwa kipindi kile.kukubali matokeo
Ahaha tindo japo mimi si muumini sana ule msemo wa adui yako muombee njaa ila siwezi omba upinzani ufe!Kipara naona unachochea kuni. Sio mbaya, ndio raha ya demokrasia mshindani wako akingiliwa na kirusi na ww unapitia hapohapo.