Recent content by Kateka Sanza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume, haya mambo si ya kufanya

    ANAKULA KUNYWA NA KUVAA..........VYA BURE HUPENDA KUPEWA WANAUME KAMA MABINTIIIII
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tecno Boom J8 kwa Dar es Salaam inauzwa bei gani wadau?

    MR FUKARA NATAKA MPYA MWANANGU
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu ya maxcom malipo na selcom malipo

    TECNO BOOM J8 INAUZWA BEI GAN KWA DARESALAM WADAU? MSAADA PLIZ.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tecno Boom J8 kwa Dar es Salaam inauzwa bei gani wadau?

    Wadau nauliza bei ya cm tecni boom j8 inauzwa bei gan huko daslam ss wa mikoani shida tu tuko mbal. msaada pliz.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Oooh Roletha!

    Jaman rollendaaa bado kuendeleaaa..........
  6. K

    JamiiForums Tanzania 2000 Toyota Land Cruiser VX 100 Diesel for Sell

    Bei ya mwisho mkuu kutoka 35m ni ngp
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

    jiongeze Mzee usilewe sifa za watoto kufanana.ukitia mimba tu utaisoma plate number.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

    Da pole sana. Utumbo ndo mpango mzima. Uko dunia gani wewe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natamani kugombea ubunge jimbo la kalambo! Nipitie chama gani?

    Nashukuru sana wadau.Nimepata pa kuanzia kwanza mm ni mwanaharakati machachali tangu utoton kwan dhuluma kwangu ni sawa na ugonjwa hatari kwa jinsi nisivyo penda. Nimepata kuwa miongon mwa watu tegemez UDOM kupambana na dhuluma kwene bumu namshukuru Mungu nilifanikiwa mm cipo kama baadhi walivo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natamani kugombea ubunge jimbo la kalambo! Nipitie chama gani?

    Ahsante Mkuu. Mbunge wa jimbo lile kwa sasa anaitwa ndgu Josephat Kandege. Jamaa pia kaenda shule lakin ameshindwa kuwaletea wananchi maendeleo na ni mtu mbinafsi sana. Maoni yenu wadau maana ni mda wa vijana sasa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natamani kugombea ubunge jimbo la kalambo! Nipitie chama gani?

    Wadau mi ni mkazi wa jimbo la kalambo na ni kijana umri wangu miaka 30. Nimemaliza shahada ya kwanza UDOM nilipata nafasi ya kuwa Wazir serikali ya wanafunzi. Sasa nawiwa kuingia kwenye siasa nikiomba kugombea ubunge jimbo la kalambo. Haja yangu kubwa ni kutaka kuwatetea wanyonge waliotelekezwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya serikali na changamoto zake.

    Mkuu ahsante sana nimekusoma vizuri zaid ya sana na nimekuelewa. Ahsante.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya serikali na changamoto zake.

    Wadau namshukuru Mungu Kuwa ni wazima. Kuna jambo moja ambalo ni changamoto kwa vyuo vikuu vya serikali.Hivi ni kwa nini huwa wanachelewa kutoa vyeti? Mfano Chuo cha Theofilo Kisanji (TEKU) wameshatoa tayari vyeti na Eckenford Tanga na sehemu nyingine but government institution bado tatizo ni...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Walimu tarajali watakiwa kuwa wazalendo watakapopangiwa ajira zao

    Nadhani anatakiwa kufanya hivo kwa mifano hasa kutoa some allowances kwa walimu hao ili kuwavutia zaid. Mambo ya kwenda huko hadi diwan wa kata std seven anamshushua shushua mwalimu tena graduate ni kudhalilisha taaluma za watu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ajira hii ya ualimu

    Pole sana Chukua za mbayuwayu changanya na za kwako. Kazi ya mtu aliyegraduate ni kutengeneza ajira ww unataka ushauri kulinda ajira badala ya kubuni uzalishe ajira pole sana mediocre teacher.
Back
Top Bottom