Recent content by Katamya

  1. Katamya

    JamiiForums Tanzania Naomba Wahandisi wa Ujenzi (Civil Engineers) tuzungumze hapa!

    Acheni kumshambulia kijana wetu, syllabus zetu nyingi kuanzia elimu ya awali mpaka juu niza ku-copy na ku-paste kutoka kwa wazungu sasa mnatarajia wazungu wataongelea unpaved roads wakati kwao hazipo zimebaki za kufanyia car racing tu? Elimu yetu bado ina mapungufu sana vijana wanahitimu shahada...
  2. Katamya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, msamehe Mh. Mnyika bure ni utoto tu

    mbuzi wa lumumba
  3. Katamya

    JamiiForums Tanzania Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Kwahiyo huyo unaemtetea ndio haongei kwa dharau?
  4. Katamya

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _______________________
  5. Katamya

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yaliyonikuta, msiziamini sana hizi hoteli na 'lodge'. Nimedhalilika sana!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli unajua kupanga matukio
  6. Katamya

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Jipatie mifumo ya shule(School information system) and hospital,pharamcy cashier system

    Ungetusaidia no yako kwa mawasiliano ingekuwa vizuri zaid
  7. Katamya

    JamiiForums Tanzania Kumetokea Tetemeko la ardhi dogo Urambo, Tabora

    Nipo Kigoma hata huku limepita
  8. Katamya

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani anaetegemewa CHADEMA kwa kutoa analysis za kiuchumi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka sana
  9. Katamya

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtihani wa RPL

    Una Idea yoyote ya maswali ya hesebu na English Mkuu?
  10. Katamya

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtihani wa RPL

    Kuhusu majina Ingia website ya open university yapo yote Mkuu
  11. Katamya

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtihani wa RPL

    Nafanya course ya ICT kiongozi
  12. Katamya

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtihani wa RPL

    Habari za Wakati huu wana Jamii, nimechaguliwa na TCU kufanya mtihani wa RPL ambao utafanyika jumatatu ya wiki ijayo 10th July, Kwa wenye experience na huu mtihani naomba msaada kujuzwa ni aina gani ya maswali wanayotoa mana hakuna notes wala lecture yoyote wanayotoa kuelekea mtihani huu.
  13. Katamya

    JamiiForums Tanzania Ni lini Qualified for RPL watangazwa?

    Matoke yameshatoka na mtihani ni tarehe 10 July, mi mwenyewe ni mchaguliwa wa kufanya huo mtihani ila sijui lolote kuhusu maswali nitakayokutana nayo hiyo j3. Pliz msaada kwa Kama una idea na huu mtihani
Back
Top Bottom