Recent content by kataip

  1. kataip

    Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Tamaa mbele. Pole sana mahusiano ni maamuzi siyo lazima na siyo wanawake wote.
  2. kataip

    Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Mama hajawahi kumwaga kirusi ni baba aliokota kirusi. Ni baba hakikitengeneza kirusi hakuthamini familia aliona nje ndiyo wanathamani ki kiwaida ulivyotengeneza ndivyo utakavyotumia.
  3. kataip

    Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Mtoto haitaji PESA wala majumba na jina la kuringia mtaani. Kwanza anahitaji muda wako wakati unatumia ulivyovitafuta hata kwa dakika chache aweze kuona fahari yako. Ukimpa upendo anapokuwa tangu anazaliwa utakuwa umelisha ubongo wake mapenzi na huruma kwako. Wala usijidanganye uweke maakibaaa...
  4. kataip

    Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

    Takrimu za nchi pia zinaonesha ongezeko la maambukizi kwa upande huo + HOMA YA INI B ambayo inaambukiwa haraka kutokana na haya ya asilimia 80%.
  5. kataip

    Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

    Duuuh halali ya hatari. ndugu yetu kipenzi chetu mume wa mtu huyu ameanza kula karanga ili maisha yaendelee. Kila anachotumia nyumbani kwake mama anawasiwasi kuingizwa kwenye grid ogopa sana TAMAA.
  6. kataip

    Wahudumu wa guest/lodge wapewe tuzo zao

    Hakuna ujanja wala nini! Kuna hoteli wanabariki mpaka unapewa muda wa kuwa na mteja bila kujali. Wanaangalia wasipoteze wateja nenda East P Moshi unajinyakulia tyuuu
  7. kataip

    Wahudumu wa guest/lodge wapewe tuzo zao

    Kuna hoteli Moshi inaitwa sijui East nini hadi staff inakusapot kuchukua demu hata ukioa powa utajua na familia yako kama una mke.
  8. kataip

    Upweke unauma tena unatesa haijalishi unamiriki nini

    Salaam Niende kwenye kisa. Baba akiwa katika harakati mtumishi wa serikalini safari mara kwa mara za kikazi ndani na nje akirudi tunafurahi anatuletea zawadi. Week end tunatoka pamoja tununue mahitaji, tule, tufurahi na some time kwenye michezo kwa ajili ya wadogo chini ya miaka 15. Baba...
  9. kataip

    Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

    Anajihami na kulinda mali zake. Hawezi kufanya alichokuambia
  10. kataip

    Mke kazidi mizaha

    Hiyo nyumba au kambi ya vyombo vya usalama? Msifanye wake zenu wakose huru kwenu. Mmeishi miaka mingi kukiwa na sintofahamu mkae muongee
  11. kataip

    Bayport acheni utapeli

    Hivi hawa wanapataka wapi namba zetu za simu na kutuma ujumbe tukakope?
Back
Top Bottom