Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,666
- 6,742
pole mkuuShida
next time nenda benk japo shida hazibishi hodi
Kuna umuhimu wa kujiandaa kwa lolote katika maishaTatizo Benki unakuta mlolongo mrefu halafu hizi kampuni janja janja wanakuambia mkopo ndani ya nusu saa...ukiwa na shida ndipo unapofanya maamuzi mabaya
Tuzichange kipindi tukiwa hatuna shida
