Recent content by KATA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa TPDC, Wizara ya Nishati & Waziri Muhongi huu hapa

    Mfumo wa utawala wa Tz ni ule wa divide and rule ndo maana kila mkoa unamakambi ya jeshi ili kuhakikisho serikali inafanya vile wanavyoona wao na sio wananchi. Iwapo wananchi watadai haki zao ambazo serikali haitaki kutoa ndipo jeshi litafanya kazi kama viongozi wa serikali wanavyotaka. Mfano ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Peramiho

    Jimbo hili la Peramiho kwa sehemu kubwa ni chama kimoja yaani ccm, tunaomba vyama vingine vya siasa hususani CHADEMA ongezeni nguvu kama mpo na kama hampo basi njooni.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa TPDC, Wizara ya Nishati & Waziri Muhongi huu hapa

    Hapa tushaibiwa, unapoona kiongozi/viongozi hawataki kutoa fursa ya ufafanuzi makini kwa wananchi juu ya rasilimali yao namna watakavyoshiriki na kunufaika nazo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania ''ushauri nasaha na kunasihi''

    mimi nimesoma course ya guidance & counseling ktk chuo kikuu cha Mount Meru kilichopo Arusha-Tanzania. Nipo tayari kujitolea. (0754 757114)
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haki ya kumfuata mwenza(mume/mke)

    Naomba msaada wa kisheria kuhusu haki ya kumfuata mwenza kwa wanandoa ambao wote ni watumishi wa umma na wananyaraka zinazohitajika kama vile cheti cha ndoa. Mosi, nani anahaki ya kumfuata mwenzake. Pili, anapokataliwa ni hatua zipi anapaswa kuzifuata.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gairo, wakati wa kutipuana umefika

    Mkuu wa kaya analijua na hana jipya zaidi ya kuwadanganya wakazi wa Gairo kila siku.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Gairo, wakati wa kutipuana umefika

    Gairo itapata maji ya uhakika iwo wakazi watamchagua muwakilishi(MBUNGE) atakaewatumikia na kuwawakilisha bungeni kwa kuzingatia mahitaji ya watu wake na sio anaejali biashara zake
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Raisi wa Kenya ni mfanyabiashara hivyo anaelewa namna ya kuvutia wateja ndio maana aliagiza bandari ya mombasa kuhakikisha mizigo iwe imetolewa ndani ya siku 5 tu au chini ya hapo na si zaidi na wahusika wa bandari ya mombasa wameitikia agizo kwa kutekeleza nini mkuu wa nchi yao amesema. Je...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nani anahaki? Wazanzibari wanataka nchi yao iwe na mamlaka kamili, watanganyika wanataka muungano

    Katika rasimu ya katiba mpya, inaonekana swala la muungano linauzito mkubwa hasa kulingana na maoni ambayo wadau walitoa kuhusu aina na namna ya muungano. Nikionacho mm kulingana na mahojiano yanayofanywa na vyombo vya habari kama vile bbc, wazanzibari wanataka nchi yao iwe na mamlaka kamili...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara kwa walimu

    Asiyejua umuhimu wa walimu katika elimu lazima ataongea pumba kuhusu maslahi, haki na wajibu wa mwalimu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

    Pamoja na itikadi zetu za kidini na vyama tunapaswa kulinda amani na utulivu kwani hivi havina dini, cham, kabila, ukanda wala rangi kwani vikitoweka wote tutateseka. Uchochezi wa aina yoyote ile tusiukubali.
  12. K

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    hongera kama ni kweli
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara kwa walimu

    tatizo ni walimu wenyewe na chama chao (cwt) kinawaburuza :yell:
Back
Top Bottom