Gairo, wakati wa kutipuana umefika

Gairo, wakati wa kutipuana umefika

jf.

Daah. Mada ya muhimu kama hii hamjaipa kipaumbele zaidi ya upuuzi wa wanasiasa?

Mnasikitisha sana.

Hapa ndipo jf ilipofika?

Nawauliza, mnajuwa kuhusu maji na umuhimu wa maji kwa mtanzania? Na au mwingine yeyote duniani?

Leo tunashindwa kujadili utapeli wa wachache unaohusu maji! Au ni kwa kuwa wote mnaoingia humu mna uwezo wa kununuwa maji? Au kuyapata maji bila "effort"?

Inasikitisha sana.

ccm hoyeeeeeee!
January Makamba amegawa misimu kibao ili waje kutoa michango ya hovyo hovyo, usishangae JF kufika hapa.
 
Wiki mbili zilizopita gari ya rafiki yangu ilifia hapo Gairo wakalala siku 3 katika shida waliokutana nayo ni kununua ndoo ya lita 20 maji kwa Tsh1000/- tena maji machafu

Shida ya maji hapo ni kubwa sana sijui wananchi wanafanya vipi maendeleo,

Kwa hili la Serengeti mkuu wa kaya ana majibu yake
 
Da Faizafoxy.
Mimi ni mwana Gairo. Nimeshtushwa na ujasiri wako kuwanyooshea kidole wanaokupa mlo per post juu ya vitu vinavyohatarisha utawala wao (Maji). Nirudi Gairo, tatizo kubwa lipo kwa ccm na viongozi wao, hawana dira wala tochi... wao wanaenda tu. Mfano hapa Gairo hapakuwa na sababu ya kutuingiza kwenye mkopo wa WB wa bil 8.6 ktk mradi wa maji chumvi, ilihali ipo natural sustainable source ya maji toka milima ya ukaguru ambayo hayana chumvi wala typhoid na yanashuka bure bila power yoyote ya umeme... isipokuwa tu system ni ya zamani inahitaji reconstruction ambayo isingezidi hata bil 2. Ubabe wa viongozi umewafanya wananchi kutoreact lakin 2015 mtajua
 
Watanzania inatakiwa tuamke muda wa kulalamika haupo tena....... Ni miradi mingapi wawekezaji wa ndani kama akina Mengi walinyimwa afu wakapewa wazungu? Inasikitisha serikali inaona wabongo hatuwezi kuwekeza hata kwenye maji. Siyo kila kitu tumwamini mwarabu/mzungu, iko siku watatuwekea sumu kwenye maji...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mh. Mungi Nikusalimie 1st za asubuhi, Unanisikitisha kwa Commets zisizo na mishiko hata ukweli !! nipe mradi mmoja nyeti uliyokamilishwa na wenye kuendelea uliyotimizwa hadi leo na Mtanzania halisi..! Mashirika yote Tumeyalaza na miradi yote tumefilisi. Uharibifu, ufisadi ndiyo sifa zetu Tanzania Ona hii:-[h=2]JK: Viongozi wengi wa vyama vya ushirika wezi = ippmedia leo.[/h][h=1]Tanzania declines in business ranking = The citizen,[/h]Dar es Salaam. Tanzania’s competitiveness has dropped five places in a year, signalling further deterioration in the productivity of the economy.

This will likely raise concern about the country’s ability to attract investments required to boost growth and create much-needed jobs.

Nafikiri Mungi ondoa mawazo kama iko siku Tutaweza kutimiza mradi kwa utaifa na uzalendo tulonao !! watakao nufaika ni wachache Asilimia kubwa ya wananchi hawatapata Maji safi,elimu Bora, Matibabu stahiki nk. " Nchi hii bila Mzungu (mkoloni haswa ) hatuendelea". Macho si tunayo tutaona na Masikiyo tutasikia.
Mungu ibariki Tanzania na uwanusuru wanyonge wake.
 
Gairo itapata maji ya uhakika iwo wakazi watamchagua muwakilishi(MBUNGE) atakaewatumikia na kuwawakilisha bungeni kwa kuzingatia mahitaji ya watu wake na sio anaejali biashara zake
 
Wiki mbili zilizopita gari ya rafiki yangu ilifia hapo Gairo wakalala siku 3 katika shida waliokutana nayo ni kununua ndoo ya lita 20 maji kwa Tsh1000/- tena maji machafu

Shida ya maji hapo ni kubwa sana sijui wananchi wanafanya vipi maendeleo,

Kwa hili la Serengeti mkuu wa kaya ana majibu yake
Mkuu wa kaya analijua na hana jipya zaidi ya kuwadanganya wakazi wa Gairo kila siku.
 
Dada FaizaFoxy na wizara ya maji! Profesa anaendeleaje maana ulisema kafanywaje vile?
 
Gairo itapata maji ya uhakika iwo wakazi watamchagua muwakilishi(MBUNGE) atakaewatumikia na kuwawakilisha bungeni kwa kuzingatia mahitaji ya watu wake na sio anaejali biashara zake

Umenena vema mkuu. Mabadiliko pekee ndiyo yatakayoifanya Gairo itoke ilipokwama
 
Da Faizafoxy.
Mimi ni mwana Gairo. Nimeshtushwa na ujasiri wako kuwanyooshea kidole wanaokupa mlo per post juu ya vitu vinavyohatarisha utawala wao (Maji). Nirudi Gairo, tatizo kubwa lipo kwa ccm na viongozi wao, hawana dira wala tochi... wao wanaenda tu. Mfano hapa Gairo hapakuwa na sababu ya kutuingiza kwenye mkopo wa WB wa bil 8.6 ktk mradi wa maji chumvi, ilihali ipo natural sustainable source ya maji toka milima ya ukaguru ambayo hayana chumvi wala typhoid na yanashuka bure bila power yoyote ya umeme... isipokuwa tu system ni ya zamani inahitaji reconstruction ambayo isingezidi hata bil 2. Ubabe wa viongozi umewafanya wananchi kutoreact lakin 2015 mtajua

Ondoa siasa katika hili jambo, wale wana siasa wanafata ushauri wa ma engineer na nna uhakika ma engineer hawatoi maamuzi kutokana na siasa zao.

Maji ni kwa wote, hayana siasa.
 
kauli ya muhongo ni mbaya sana.tena sana.kwa watanzania wanaojua mtazamo huu wa muhongo hatutaweza kabisa kujenga uchumi wetu.wageni hawawezi kutujengea uchumi.wa nchi zao atajenga nani???lakini kwa nini mnawachagua??
 
Gairo itapata maji ya uhakika iwo wakazi watamchagua muwakilishi(MBUNGE) atakaewatumikia na kuwawakilisha bungeni kwa kuzingatia mahitaji ya watu wake na sio anaejali biashara zake

Tatizo sio mbunge au mwana siasa, tatizo kubwa ni watendaji. Nani hao watendaji katika idara za maji?

Tusikurupuke katika haya, ukitazama kwa makini, mbunge kapigana mpaka kaufikisha mradi jimboni kwake. Anaambiwa hawa ndio wataalam watakaoutimiza, wanaanza kazi hawatimizi na hapo hapo, hao hao watendaji wanawapa tena miradi mingine kwingine. Hawa wataalaam walipeleka ripoti zipi za utendaji Gairo? Fikiri.
 
kauli ya muhongo ni mbaya sana.tena sana.kwa watanzania wanaojua mtazamo huu wa muhongo hatutaweza kabisa kujenga uchumi wetu.wageni hawawezi kutujengea uchumi.wa nchi zao atajenga nani???lakini kwa nini mnawachagua??

Hapa Muhongo hausiki, si wizara yake inayohusu maji.

Tujadili ni kwanini watu waliopewa fedha nyingi sana kukamilisha mradi wa kuwapa maji wana Gairo wakashindwa na bado wanapewa miradi mingine mikubwa ya maji.

Kwa mujibu wa habari nilizonazo ni kuwa wamepewa mradi mwingine mkubwa sana wa billioni za Kitanzania zisizoponguwa 15. Ndio Billioni 15 kuwapatia maji wana Darisalama. Jee, ikiwa hawa watu wameshindwa kuwapa maji wana Gairo (ka mradi kadogi kulinganisha na mradi wa Dar.) na wameshindwa, leo hii kweli wataweza kuwapa maji Darisalama?
 
Da Faizafoxy.
Mimi ni mwana Gairo. Nimeshtushwa na ujasiri wako kuwanyooshea kidole wanaokupa mlo per post juu ya vitu vinavyohatarisha utawala wao (Maji). Nirudi Gairo, tatizo kubwa lipo kwa ccm na viongozi wao, hawana dira wala tochi... wao wanaenda tu. Mfano hapa Gairo hapakuwa na sababu ya kutuingiza kwenye mkopo wa WB wa bil 8.6 ktk mradi wa maji chumvi, ilihali ipo natural sustainable source ya maji toka milima ya ukaguru ambayo hayana chumvi wala typhoid na yanashuka bure bila power yoyote ya umeme... isipokuwa tu system ni ya zamani inahitaji reconstruction ambayo isingezidi hata bil 2. Ubabe wa viongozi umewafanya wananchi kutoreact lakin 2015 mtajua

nikuhurika funangu cjui niaje hawa wa2
 
Gairo? or is it Cairo? ……….Kampuni inayoitwa Serengeti, jina la Kitaifa kabisa na la Kitanzania, ilipatiwa mradi wa kuwapa maji wana Gairo, kwa fedha nyingi sana. Jee, imewapa maji? kama jibu ni ndio! basi wanastahili kila sifa, kama jibu ni sio! Kwa nini? Tuchambuwe.

Tuanzie hapa best. Ungetupa jibu la swali hili mjadala ungenoga kwani swali lako hili la pili itabidi tusubiri tuone:
Kampuni hiyo hiyo sasa imepewa kutupa maji Darisalama. Jee, wataweza?

Cha kushangaza na kusikitisha, hii sio kampuni ya Kitanzania, ni kampuni inayomilikiwa na mtu anaeitwa Ali Talebi, ni Muiran ingawa ana Uraia wa Kitanzania wa kupewa. Si mzaliwa wa Tanzania, wala wazee wake.
Kama alipewa uraia kwa mujibu wa sheria zetu, huyu ni raia! Tuache huo ubaguzi… labda kama hoja yako ni ile ya Idd Simba ya kipindi kile ya UZAWA, otherwise raia ni raia.
…….Na kajaza wafanyakazi wa Kiiran, seuse ya kuwa wana vikwazo vya Kimataifa.
Hapa kama ni kweli ndo penye tatizo….panahitaji kufuatiliwa kwa karibu.

Kwa nini watu kama huyu wanapewa miradi ya Kitaifa? Inayohusu uhai wa Watanzania? wana nini zaidi?
Mbona hivyo? Tueleze kwanza tatizo walilonalo kiunagaubaga tuweze kujadili vyema.

Hivi, hiyo miradi waliopewa> ni kwa vigezo vipi? kampuni za Kitanzania zilishindwa? (Ingawa na wao wanajifanya ni kampuni ya Kitanzania) Ukweli ni kuwa ni waongo, si Watanzania.
Tueleze kwa uwazi jinsi wasivyo na vigezo. Suala la utanzania wao nalo bado hujatuweka sawa ni vipi hasa sio watanzania kama nilivyokuuliza hapo juu.
 
Hahahahaaaa. Big result now! Wako makini sana wabunifu wa mradi huu wa big result now. Manake hawakusema which result. Ukumbuke kuwa kwenye result kuna positive na negative. Unaonaje ukiwauliza viongozi wako au makada wenzako kuhusu hayo mambo ya maji (hapa Bukoba yanaitwa amaizi), then majibu watakayokupa ndo utuletee JF? Unatuuliza sisi tena wakati wewe ndo chama tawala!
 
Tuanzie hapa best. Ungetupa jibu la swali hili mjadala ungenoga kwani swali lako hili la pili itabidi tusubiri tuone:

Huna haja a kusubiri, kuna mtu kajibu huko juu, kaweka na mwaka waliopewa huo mradi na kaainisha kuwa mpaka sasa hakuna maji Gairo.
Kama alipewa uraia kwa mujibu wa sheria zetu, huyu ni raia! Tuache huo ubaguzi… labda kama hoja yako ni ile ya Idd Simba ya kipindi kile ya UZAWA, otherwise raia ni raia.

Sijui kama aliupata kihalali au alitumia kugawa "vijisenti".
Hapa kama ni kweli ndo penye tatizo….panahitaji kufuatiliwa kwa karibu.

Ndio maana tumeleta humu, wahusika wafatilie. Kama wanajali raia zao.
Mbona hivyo? Tueleze kwanza tatizo walilonalo kiunagaubaga tuweze kujadili vyema.

Tueleze kwa uwazi jinsi wasivyo na vigezo. Suala la utanzania wao nalo bado hujatuweka sawa ni vipi hasa sio watanzania kama nilivyokuuliza hapo juu.

Kigezo cha kwanza ni utekelezaji, na inaonekana kuwa mradi wa Gairo hawajatekeleza. Vipi wapatiwe mradi mwingine mkubwa zaidi? hapo sasa!

Hivi DAWASCO wamo humu? maana mradi mkubwa wa maji wa Dar ni wa DAWASCO, jee, DAWASCO na wizara ya maji wanaweza kutueleza hawa Serengeti waliupataje huo mradi ilhali wameshindwa kutekeleza mradi mdogo wa Gairo? ukilinganishwa na wa Dar.
 
JF.

Daah. Mada ya muhimu kama hii hamjaipa kipaumbele zaidi ya upuuzi wa wanasiasa?

Mnasikitisha sana.

Hapa ndipo JF ilipofika?

Nawauliza, mnajuwa kuhusu maji na umuhimu wa maji kwa Mtanzania? na au mwingine yeyote duniani?

Leo tunashindwa kujadili utapeli wa wachache unaohusu maji! au ni kwa kuwa wote mnaoingia humu mna uwezo wa kununuwa maji? au kuyapata maji bila "effort"?

Inasikitisha sana.
Hapa ndipo tulipo!.
Ungeuliza jinsi ya kujikomboa kwa jinsi serikali ya CCM ilivyotufanya mandondocha kwa mika hii 50 iliyopita na ndivyo inavyoendelea kutufanza hivi kwa miaka 50 mingine ijayo, them wengi wangechangia!. Gairo ni mfano mmoja tuu na kampuni ya Serengeti ni kampuni moja tuu!, laiti ungefanya utafidi ni madudu mangapi hawa hawa jamaa zako wanaowatendea Watanzania, utakubaliana na mimi, siku ya siku ikifika, tutagezwa kuni!, pamoja na mimi na wewe na wote tunaowasupport!.
Pasco.
 
Madudu yalianza kutokana na misingi mibovu aliyoiweka nani?

Kikwete ndio anabadilisha na sisi tuko nyuma yake kuibua hayo madudu.
 
Back
Top Bottom