Binafsi sioni kama wamejichanganya, kila mtu yupo huru kutoa mtazamo wake, wangesema wote sawa mngesema wamepanga, kila mmoja alizalwa peke yake na atakufa peke yake, ukisimama kwenye haki na ukweli, daima utapendwa na walimwengu.
" SERIKALI HAIKISHTUSHWA NA MLIPUKO...