Operesheni Nusuru CHADEMA,Mbowe na Zitto waong'oke

Operesheni Nusuru CHADEMA,Mbowe na Zitto waong'oke

Status
Not open for further replies.
Wenzako tunafikiria namna ya kuing'oa CCM.CCM wanafikiria namna ya kung'oa kucha za watu.Wewe unafikiria namna ya kuwang'oa Mbnwe na Zitto.CHADEMA kuna demokrasia wataondoka kwa njia hiyo.
 
Wacheni ujinga nyie. Mbowe aondoke aende wapi? Chama ni chetu na sisi ndio wenye hati miliki. Tindu lissu na dr silaa tumewakaribisha tu. Kwanza tukiamua anytime tunawatimua.
 
Wenzako tunafikiria namna ya kuing'oa CCM.CCM wanafikiria namna ya kung'oa kucha za watu.Wewe unafikiria namna ya kuwang'oa Mbnwe na Zitto.CHADEMA kuna demokrasia wataondoka kwa njia hiyo.

Tokea huyo Mh. Mbowe awe mwenyekiti hapo CHADEMA amekuwa kwenye nafasi hiyo ya uwenyekiti kwa muda gani? Hakuna mwingine anayefaa kuchukua nafasi yake?
 
Tokea huyo Mh. Mbowe awe mwenyekiti hapo CHADEMA amekuwa kwenye nafasi hiyo ya uwenyekiti kwa muda gani? Hakuna mwingine anayefaa kuchukua nafasi yake?
Hiyo wewe inakuhusu nini?
 
Nikiwa kama mkeretwa mkubwa wa CHADEMA na adui namba moja wa CCM napendekeza Mh Mbowe na Mh Zitto wang'oke katika nyadhifa wanazozishikiria na kuwaachia wengine wengine wenye mapenzi ya dhati kwa Taifa hili takatifu kuongoza jahazi.Ni wakati wa kuwafikiria akina Lissu na Safari kuongoza mapambano haya tuachane na hawa Viongozi vigeu geu.Wakati mwingine huwa nashawishika kuamini kuwa Mbowe anajali zaidi maslahi yake binafsi kuliko maslahi ya Chama na wale wanaokiunga mkono Chama.

Nilijua mwanachama kumbe ni shabiki tu, da! umekurupuka, chadema hawako hivyo.
 
Mkuu hayo uliongea na maoni yako kwa mujibu wa katiba ni haki yako.

Lakini kumbuka Mbowe na Zitto ndiyo wameifikisha Chadema hapa ilipo ni nguvu zao na kujituma kwao na uadilifu pamoja na uzalendo wao ndiyo mtaji wa Chadema.

Kuongoza chama ni kazi kubwa siyo kama kuongoza familia yako nyumbani.

Mimi ni mpinzani wa Chadema lakini hawa jamaa nawakubali.
 
Kuna mambo mengi ya kuyajadili kwa mistakbali wa taifa hili, Demokrasia imebakwa na ccm, ccm wamekuwa magaidi, tasilimali za nchi zimeporwa na wageni, gesi ya mtwara, ujangili. We unakuja na nyimbo za kipumbavu ili kudhoofisha harakati za ukombozi!!
 
Wacheni ujinga nyie. Mbowe aondoke aende wapi? Chama ni chetu na sisi ndio wenye hati miliki. Tindu lissu na dr silaa tumewakaribisha tu. Kwanza tukiamua anytime tunawatimua.

Kama hawamtaki Mh. Mbowe wakaanzishe chama chao kama baba mkwe wake Mh. Mbowe alivyoianzisha CHADEMA.
 
Mkuu hayo uliongea na maoni yako kwa mujibu wa katiba ni haki yako.

Lakini kumbuka Mbowe na Zitto ndiyo wameifikisha Chadema hapa ilipo ni nguvu zao na kujituma kwao na uadilifu pamoja na uzalendo wao ndiyo mtaji wa Chadema.

Kuongoza chama ni kazi kubwa siyo kama kuongoza familia yako nyumbani.

nakubaliana ww
 
Mkuu hayo uliongea na maoni yako kwa mujibu wa katiba ni haki yako.

Lakini kumbuka Mbowe na Zitto ndiyo wameifikisha Chadema hapa ilipo ni nguvu zao na kujituma kwao na uadilifu pamoja na uzalendo wao ndiyo mtaji wa Chadema.

Kuongoza chama ni kazi kubwa siyo kama kuongoza familia yako nyumbani.

Mimi ni mpinzani wa Chadema lakini hawa jamaa nawakubali.

Take a BIG LIKE
 
aise kumbe ndio maana kila kitu tunategemea wazungu.........bara bara,umeme nk
 
Tokea huyo Mh. Mbowe awe mwenyekiti hapo CHADEMA amekuwa kwenye nafasi hiyo ya uwenyekiti kwa muda gani? Hakuna mwingine anayefaa kuchukua nafasi yake?

Hivi wewe hutumii hata akili kwanza kabla ya kuongea ulichotumwa? yaani huoni mafanikio ya chadema! sikutukani ila amka kwenye huo usingizi ulilolala nawasiwasi na ufahamu wako. Da nilisahau hebu someni jina la huyu alieleta post hii, nahisi harufu ya kule Tanga.
 
Mkuu hayo uliongea na maoni yako kwa mujibu wa katiba ni haki yako.

Lakini kumbuka Mbowe na Zitto ndiyo wameifikisha Chadema hapa ilipo ni nguvu zao na kujituma kwao na uadilifu pamoja na uzalendo wao ndiyo mtaji wa Chadema.

Kuongoza chama ni kazi kubwa siyo kama kuongoza familia yako nyumbani.

Mimi ni mpinzani wa Chadema lakini hawa jamaa nawakubali.
Ni kweli kabisa mkuu.
 
Usiombe kulala mchana halafu uote umeokota pete ya dhahabu unalazimisha iingie kwenye kidole, utashangaza wanaokutizama.
 
[/I]
Tech Wiz: Una kila haki ya kutoa mwazo yako. Lakini ukiwa kama Great Thinker, jitahidi kuimarisha hioja kwa vigezo vya kisayansi. Tupe sababu tano tu za msingi!

Nitayasema hapa tu hapa japo kwa uchache.Kuisifia CCM wakati wa uzinduzi wa bara bara kule jimboni kwake Hai na akasahau kwamba maeneo hapa nchini hayana barabara nzuri ni wazi alidhohofisha harakati za Chama kujijenga kupitia haya mapungufu ya Chama Tawala.Kumtangaza Slaa kuwa mgombea wa Urais wakati Chama kipo katika mgogoro mkubwa ni ukosefu mwingine wa busara.Kuwaomba CUF msamaha bungeni kwasababu ya kuitwa Waliberali ni udhaifu mwingine wa Mbowe.Kukataa kutumia gari la Serikali la gharama kubwa kisha kupitia mlango wa nyuma akalichukua tena hilo gari.Kutoa statement zinazokinzana kule Polisi Arusha ili kujiokoa asing'ang'aniwe na Polisi kama ilivyowatokea akina Lissu.Kuingiza CHADEMA mkenge kuonana na Kikwete kuhusu rasimu ya Katiba Mpya lakini leo hii CCM wamejipanga kupitisha mawazo yao yote.
 
Hivi wewe hutumii hata akili kwanza kabla ya kuongea ulichotumwa? yaani huoni mafanikio ya chadema! sikutukani ila amka kwenye huo usingizi ulilolala nawasiwasi na ufahamu wako.

Kama hoja ndiyo hiyo basi Nelson "Madiba" Mandela angekuwa mwenyekiti wa ANC hadi muda huu akiwa yupo kitandani.
 
Mbowe hakuna kuomba msamaha,CDM hakuna kufafanua chochote maccm wanataka kutuvuruga dhifa sawa lakini sjui uhuru, mapinduzi ya znz na muungano hapana aisee

"To know the enemy is half the victory"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom