Recent content by KASULI

  1. KASULI

    JamiiForums Tanzania Hizi noti ni kwa ajkli ya nini?

    Sanahani wanaJamvi, leo Dogo kaniletea hii noti sasa nikashindwaa kujua zilitengenezwa kwa ajili ya nini? Je, ni fake au Original?
  2. KASULI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    WAUZA SMART PHONE WAPI NITAPATA SAMSUNG S SERIES DOUBLE LINE
  3. KASULI

    JamiiForums Tanzania Je, wale wanaosafiri na vilabu vya Simba na Yanga kwenda nje, hula na kulala wapi?

    Habari za jioni Watanzania wenzangu. Kwa miaka ya hivi karibuni mpira wa Nchi yetu umechangamka sana. Vilabu vyetu Simba na Yanga si tu vinaogopeka baki pia vinacheza mpira wa kuvutia kwa viwango vyetu vya Afrika. Suala hili limepelekea watanzania rika na jinsi tofauti kuonesha kusupport...
  4. KASULI

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Tupeane hizi jmn
  5. KASULI

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hizi dawa kurefusha uume zipo?

    Wanajamvi nimekuwa napita pita kwenye mitandao na mara nyingi unakutana na dawa za kurefusha uume, na kuna wakati uwa unaona watu wametoa ushuhuda kwamba ni kweli uume umerefuka. Kati ya vitu sijawahi kuviamini ni haya madawa ya kurefusha au kuongeza unene wa uume, uwa naona kama ni kitu...
  6. KASULI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upwiru wa dakika tano ulivyobadilisha Maisha yangu

    Aisee
  7. KASULI

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

    Boss Family house ya kumjengea mama kijijin, roof iwe mgongo wa tembo ya T au L
  8. KASULI

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na changamoto hii nikifuatilia passport, naombeni ushauri

    Boss uko mko gani na mm naiomba
  9. KASULI

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na changamoto hii nikifuatilia passport, naombeni ushauri

    Boss uko mkoa gani tusaidiane kaka
  10. KASULI

    JamiiForums Tanzania Je, Watumishi wa bunge wanalipwa sawa na wabunge?

    Naomba kuwasilishaaa
  11. KASULI

    JamiiForums Tanzania Je, Watumishi wa bunge wanalipwa sawa na wabunge?

    Wsalaam Viongozi... Kuna nafasi ya kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge iko mezani mwa rafiki wa mdogo wangu. Kala Shavu hilo. Sasa jana dogo ambae ni mtumishi wa umma halmashuri kaja kuniuliza "eti bro waandishi wa taarifa rasmi za Bunge wanalipwa sawa na wabunge? Kwanza kwa kuwa...
  12. KASULI

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Huu wayaa naupatajeee
  13. KASULI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Boss na mimi nna 100
  14. KASULI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Boss ni Dual
Back
Top Bottom