Sio fake ni genuine nenda BOT ukasombe mihela mzee ushatusua mkuu… hakikisha umepewa TZS 2.5 quintillion
Ubaya zaidi hakuna dollar ya figure hizo.Ubaya wa dola ni ina muda wake wa kutumika baada ya hapo ukiwa nayo mkononi ni sawa na karatasi
Mtoa mada akafungie vitumbua tuuUbaya zaidi hakuna dollar ya figure hizo.
Sanahani wanaJamvi, leo Dogo kaniletea hii noti sasa nikashindwaa kujua zilitengenezwa kwa ajili ya nini? Je, ni fake au Original?View attachment 2772142
Ni Quadrillion mkuu [emoji23]Sio fake ni genuine nenda BOT ukasombe mihela mzee ushatusua mkuu… hakikisha umepewa TZS 2.5 quintillion
[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda BOT usiwasikize haters.
Daaa mtamvuruga jamaaNenda BOT usiwasikize haters.
Aende BOT customer care aulize. Ujue iyo pesa kubwa.Hadi sasa mtoa mada yupo kwenye mataa, hajui amsikilize nani na ampuuze nani.
Kwan mtoa mada hiyo noti umeielewaje? [emoji1787]