Mtoa Maada atakuwa nae Mchaga amekuja kujionesha anachangia Pato la Taifa Kupitia Pombe, Ni kweli kabisa Wanywaji Pombe Wanaushirikiano na Mtu akilewa Mara nyingi anaongea Ukweli tu Huo ndio Msingi wa Kulewa. Ndio Maana watu wakilewa wanaanza kukutambulisha bila hata kuwauliza kazi zao Mara huyu...
[emoji3] Ndio wameanza hivyo watakuja hadi kwenye Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, Halopesa na mitandao mingine kibao, Tutakuwa atuweki Pesa, Pesa imeingia tu mtu umetumiwa. Ndugu mteja kiasi cha 100, 000. Kimerejeshwa kwenye mkopo wako wa Heslb Ahsante kwa kutumia Tigo Pesa.
Hiyo sio sawa kulinganisha Mafuta ya Gari na Kupikia, Watanzania wengi wanatumia Public Transportation/Usafiri wa Umma , sasa huoni hapo sio sawa. Fikiria kwa kichwa chako Gari zimefika haraka namba D kwa Ajiri ya Pikipiki. Ukitoa namba za Pikipiki, Utaona Tanzania nzima hata Gari Idadi ya...
Kwa nchi yetu ya Tanzania kunachangamoto kwa Wasomi wengi au Familia nyingine zinaaminisha kuwa mtu akisoma ni lazima aweze kuajiliwa na kuwa na Maisha Mazuri, Na kuna aina ya Familia zinawajengea kijana toka akiwa anasoma na kumfundisha pia Elimu ya maisha ya Kutokutumia vyeti vyake...
Vaa Condom Kijana, Magojwa ni Mengi, Jali afya yako kama Unapenda kavu pima na mpenzi wako tena kuna vipimo vile vya uwakika vinavyo tambua Magojwa kwa haraka sana
Huyu ni Nanga mwengine, Mwanajeshi lazima uwe na nidhamu na utii bila kuchukua sheria mkononi, Wafiwa wafuate utaratibu wote hao watachukuliwa hatua za kisheria. Jeshi alifundi kupiga raia bila sababu maalumu ya kuhatarisha amani
Boss kaona Hakuna sababu ya kula chumvi ambayo haina radha, ni sawa na Panya anapo kimbizwa na binadamu anaweza kuzama hata shimo sio lake akakutana na nyoka mwenye Harufu kali sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.