Recent content by kasukububu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Apigwa risasi akijaribu kuwatoroka polisi

    Risasi ya mguu inauwa?tens mtuhumiwa akiwa chin ya ulinzi na uangaliz was jeshi LA polis?well done polis wetu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tuwachore

    Ila kwel
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtifuano Ulaya Leo, Mtoto Halali na HELA

    Hivi tbc2 wataonyesha kwel?
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

    Bado second half haijaanza?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za hatari kwenye akaunti yako ya mshahara ni hizi hapa

    Halafu nifanye nn hapa mjini?mbona tunadanganyana?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Jaman jk mbona unafanya mambo kammmmmma unatukomoa?sasa hii nazi unaikabidhi willaya itafanya nn? Kwann usimalize kipind chako kwa aman?una nadharaulika kwa kuwabeba wasiobebeka
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili serikali hamjatumia akili

    Nunua kifurushi cha mwez uone kama na ww utakua umeongeza tisa,hawa jamaa ni wehu kabisa,lengo lao tushindwe kujadili mambo ya ufisad na hiyo danganya toto la ambon tanga
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili serikali hamjatumia akili

    Je mnajua ni kwa nn bundle zimepunguzwa? Serikali wamegundua kuwa mijadala mingi ya kimapinduzi inafanyikia kwenye mitandao(haswa JamiiForums)so ili kuizimisha jibu ni kupunguza bundle la internet, haiwezekani lazima haya makampuni wamepewa maelekezo na wenye nchi, iweje makampuni yote yaongeze...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Duu jaman kuna watu wavivu kufikiri
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kamateni hii kitu kwa faida yenu au kwa usalama wenu ila mtanilipa kwa maarifa haya sawa ?

    Mwana nipe hayo maujanja maana kuna mfanyakaz wangu wa dukan ananitia hasara so nataka nijue anapeleka wap
  11. K

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Abood limemgonga na kumsababishia mauti mwendesha bodaboda

    Duu kwel kuna watu wa ajab,mi ndo nimeripot hivyo na nimeshuhudia,kama huamin uliza mtu yeyote anayeishi au aliyepita maeneo ya ubungo mida ya saa moja akuhakikishie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Abood limemgonga na kumsababishia mauti mwendesha bodaboda

    Basi la kampuni ya Abood lililokuwa likitokea Morogoro, limemgonga na kumuua dereva wa bodaboda maeneo ya Ubungo Maji. Inasemekana matairi ya mbele na nyuma yamempitia juu ya dereva wa bodaboda,yaani hatamaniki.Polisi wameshafika kurudisha amani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    Hapo ndo wadanganyika tunapowezwa,sio ajab kuna watu wameridhishwa na hayo majib
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Wise respond,thanx eiyer,m waiting
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Cjaelewa,huyu jamaa alikua mchaw?
Back
Top Bottom