Recent content by kassam msangi

  1. K

    Maisha ya Babu Tale, Fella, hayati Kanumba yana financial freedom kuliko wasomi wengi. Tunakosea wapi?

    Kama majibu yenyewe ndo kama haya yanayoendelea kutolewa kwamba mtu fulani ndo kasababisha au chama fulani, nadhani mtoa mada Ana kazi ngumu kupata jibu, kwani hao waliofanikiwa tunajua ni chama gani, bado elimu yetu haijatoa ufumbuzi kwa hii mada
  2. K

    Nawashangaa wanawake wanaopigwa kama punda na waume zao na bado wanang'ang'ania

    Hakuna namna nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Tatizo la LUKU kuisha haraka

    Tatizo lingine ni kulipa LUKU kwa mtandao yaani simu ni shida, nimelipia kuanzia asubuhi mpaka sasa nipo gizani
  4. K

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Hivi waTZ hatuna kazi nyingine ya kufanya, ndo mana hali ya uchumi ni mbaya
  5. K

    NENDA KAMPENDE MKEO

    Hakika nimeipenda hii na ndio ukweli huo
  6. K

    "Wapenda vita hebu someni hili andiko kwanza"

    Hapa ndipo utakapogundua watu wenye mawazo ya kishabiki bila kujua athari za vita. Marekani sio kwamba anashindwa kuivamia Korea ya kaskzn, kama yeye mwenyewe anaogopa athari za vita hiyo sembuse wewe? Kama vita ingekua inachagua tungewaombea wanaoshabikia iwazoe kabisa. Tuombe Mungu visitokee
  7. K

    DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Jamani tuwe wakweli, kuna siasa gani hapo, hiyo ilikuwa nyumba ya kupanga sio ya mtu binafsi, umeshindwa kulipa bili wenyewe wafanyeje, kwani wamekaa pale kwa muda gani, wacha jengo lijengwe la kisasa zaidi, tujifunze kulipa pango kwenye majumba ya kupanga. Sent from my SM-N900 using...
  8. K

    Sikukuu kama hizi yafaa utulie nyumbani

    Huyu kala nyuki
Back
Top Bottom