Hii kitu ni changamoto sana ,Mimi nahisi lazima kuna kitu kinafanyika mwenye hii mifumo ya umeme.Mfano Mimi nilikuwa na tatizo hilohilo nikaambiwa hayo yote ,baadae nikawaita mafundi nikabadilisha earth system,check wiring zote mwanzo mwisho lakini tatizo lipo palepale.Mtafute mtaalamu wa umeme aliye karibu nawe atakusaidia.
Hilo tatizo huwenda likasababishwa na mojawapo ya haya;
1. Wiring system ya nyumba yako imechoka, inahitajiwa kukarabatiwa upya na hili husababishwa mara nyingi na open circuits na umeme kupotea mwingi sana (electric leakage)
2. Earth mbovu, jaribu kuangalia earthing system huenda imechoka
3. Jaribu kufanyia investigation vifaa unavyo tumia mfano friji n.k
Hayo yote tafuta fundi mzuri wa wiring atakusaidia
Si unajua mvua zimeisha hizi sasa bila kipupwe hali inakuwa tete kidogo...Ata kama nimepata Mchuchu kwani tukidoo tunatumia Umeme
Kiongozi nami naungana na wewe luku inaisha haraka sana siku hizi kunatakuwa na tatizo kwenye system yao ya lukuJamani mbona sasa hivi LUKU zinaisha mapema sana tofauti na zamani au tatizo lipo kwangu ,
Zamani nikiweka Umeme wa elfu 20 unakaa mpaka mwezi lakini sasa hivi unakaa almost wiki mbili mpaka wiki tatu ,
Na hakuna kitu kipya ambacho kimeongezeka na matumizi ni Yale Yale ya kila siku.
Jamani hili tatizo ni kwangu tu au hata kwako ulipo nayo ni hivyo hivyo
Usijaribu kufanya ivyo,tanesco sasa ivi wakikukamata utajutaHuko kwenu hakuna wachezea meter ?
Basi metre itakuwa na tatizoHii kitu ni changamoto sana ,Mimi nahisi lazima kuna kitu kinafanyika mwenye hii mifumo ya umeme.Mfano Mimi nilikuwa na tatizo hilohilo nikaambiwa hayo yote ,baadae nikawaita mafundi nikabadilisha earth system,check wiring zote mwanzo mwisho lakini tatizo lipo palepale.
Earthing system ikiwa mbovu ina husianaje na kulika na umeme?Inawezekana kuna tatizo kwenye earth system.... either hakuna unyevu kwenye eart rod au wiring system ina shida. jaribu kuhakikisha pale earth wire inapofukiwa (earth rod) unapamwagia maji mara kwa mara pawe na unyevu.... ikiendelea kuwa hivyo cheki na fundi
Na mafundi uchwara ndio fursa yao hii huko mtaani kuwa piga watu hela....Hii kitu ni changamoto sana ,Mimi nahisi lazima kuna kitu kinafanyika mwenye hii mifumo ya umeme.Mfano Mimi nilikuwa na tatizo hilohilo nikaambiwa hayo yote ,baadae nikawaita mafundi nikabadilisha earth system,check wiring zote mwanzo mwisho lakini tatizo lipo palepale.
Watu nane umepotea sana yakheeMkuu sio kuwa umepata mchuchu sasa matumizi ya feni au AC yameongezeka...
Upo wapiHii kitu ni changamoto sana ,Mimi nahisi lazima kuna kitu kinafanyika mwenye hii mifumo ya umeme.Mfano Mimi nilikuwa na tatizo hilohilo nikaambiwa hayo yote ,baadae nikawaita mafundi nikabadilisha earth system,check wiring zote mwanzo mwisho lakini tatizo lipo palepale.
SongeaUpo wapi
Mkuu Kwanza Kabisa Kabla Ya Kuanza Kulalamika Angalia Uko Kwenye Matumizi ya Kiwango ganiJamani mbona sasa hivi LUKU zinaisha mapema sana tofauti na zamani au tatizo lipo kwangu ,
Zamani nikiweka Umeme wa elfu 20 unakaa mpaka mwezi lakini sasa hivi unakaa almost wiki mbili mpaka wiki tatu ,
Na hakuna kitu kipya ambacho kimeongezeka na matumizi ni Yale Yale ya kila siku.
Jamani hili tatizo ni kwangu tu au hata kwako ulipo nayo ni hivyo hivyo
Hujawasha mpaka leo!?Hilo tatizo wadau mimi pia linanisumbua sana lmeanza mwez wa nne hivi. Lakn zaman umeme tukiweka wa elfu 20 tunatumia mwez na sku kadhaa sasahvi ni wki mbili tu. Nashukuru kwa majbu nmezima main switch nione itakuaje
Hujawasha mpaka leo!?