Recent content by Kasome

  1. Kasome

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Kima cha chini hakitozwi kodi mkuu.
  2. Kasome

    JamiiForums Tanzania Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

    Inaonesha ni jinsi gani ulivyovuta bangi na ikakukolea.
  3. Kasome

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Ninachofahamu zamani baada ya kumaliza darasa la saba na kufeli watu walirudia shule na kuchukua majina ya wanafunzi ambao waliacha shule na kuendelea nayo.
  4. Kasome

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wateule wasio na vyama

    Hao wote ni makada wa chama cha kijani
  5. Kasome

    JamiiForums Tanzania Passo Owners Association (POA) Dsm chapter

    Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Ni bora anayemiliki Paso kuliko wale wanaotegemea public transports maana naweza kwenda popote na kwa wakati wowote.
  6. Kasome

    JamiiForums Tanzania Swali: Taaluma ya Upolisi ama Polisi wamelaaniwa?

    Inakera sana baadhi yao wanapokuwa omba omba wakati wana mishahara na posho wanatia aibu kama maisha magumu kila mtu ana maisha magumu waibane serikali iwaboreshee maslai na si kuomba omba.
  7. Kasome

    JamiiForums Tanzania Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

    Vitz ipo vizuri kuliko Paso
Back
Top Bottom