Kuthamini vyombo vya ulinzi na usalama katika kujenga Taifa la Tanzania ilikuwa sahihi. Angalia historia ya ulimwenguni misaada tunayopata Tanzania kutoka nchi za nje inatekelezwa na wanajeshi wa nchi husika.
Misaada yote China kwa Tanzania inajengwa na Jeshi la China
SGR uturuki ni Jeshi...
Kutengeneza nguzo za zege hakuna utofauto wa kufyatua matofari au makaravati.
Mnaowataja wakina DERM wamepata fursa na kuchangamka.
Tatizo lazma wataalam muangalie je nguzo za umeme za nguzo ipi Bora,mashamba ya nguzo Mufindi yafungwe?Kama zege ni Bora mbona ulaya nguzo za mbao bado ni muhimu na...
Eatdco,Tba,Sumajkt,Tamesa nk wakati wa uhai wake Rais Magufuri aliamini sana utendaji wa na aliwapa miradi kuijenga badala ya kuwepo ushindanishi na makampuni binafsi.Labour Force systems ilitumika.
Kwa sasa na mfumo uliopo hawawezi kupambana na makampuni binafsi hivyo yanakufa kweupe. Mfano...
Tatizo Tz man chuki binafsi.Ridhiwani kwanza anabebwa na shule yake. Na kama alivyo Rais wa Zanzibar. Mbn Rais wa Tz hajamteua moto wake? Uwaziri au top Posts hazisomewi. Peleka moto shule
Kweli Kampuni hii imejipambanua katika kuzalisha vyakula kwa matumizi ya binadamu ulimwenguni.Wakati nikiwa Uholanzi/Amsterdam niliweza kukutana na bidhaa km unga, biscuits nk zenye nembo ya Azam/Bakhresa Tz.Nilifurahi na kupongeza juhudi za mwekezaji mzawa.
Tofauti na nilivyotarajia kuona...
Mchana madreva wanaendesha magari kwa ratiba, kwa hili Polisi wamefanikiwa.Usiku hakuna check points Wala Polisi.Ule muda aliopotea mchana wanafidia usiku ndio maana ajali karibu zote ni mchana.Utafutwe utaratibu rafiki utakaolinda usalama wa watu na mali zao.
Haitakuwa busara kuzuia usafiri wa...
Inasikitiisha kuona Mzee Dewji kujiuzulu uongozi inakuwa kashfa kwake na familia yake.
Mzee Dewji kajitolea kuiongoza Simba miaka ya 80 na ikawa na mafanikio makubwa.
Sio busara kumporomoshea matusi, Laana yake Simba inaweza kuwa nyau.
Tuwaheshimi viongozi
----
KASSIM Dewji “KD” amejiuzulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.