Msaada: Urusi imetusaidia nini kama Taifa rafiki yetu wa damu?

kasindaga

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
165
Reaction score
165
Kwa mateso wanayowapata watanzania walioko Urusi nchi kama Tanzania tumenufaika na nini tangu uhuru?Orodhesha
 
Tuliyonufaika nayo kutoka Urusi....

1. Pombe zao Kali Kuharibu Akili za 99% ya Wasomi wa Tanzania wakitoka huko Urusi.

2. Kiwango cha Roho Mbaya na Ukatili kwa Watanzania wanaotoka Kusoma huko Kwao.

3. Watanzania wanaosoma huko kuwa Wabahili kupitiliza na kuwa Watu wasiojipenda na Wachafu.

Tunawashukuru Urusi kwa huu Msaada.
 
Walijenga Chuo Cha Ufundi Mbeya zamani Mbeya Technical College (MTC) na sasa ni MUST (Mbeya University of Science and Technology)
 
Kwa mateso wanayowapata watanzania walioko Urusi nchi kama Tanzania tumenufaika na nini tangu uhuru?Orodhesha
Watanzania wangapi wanapata mateso.

Una data au mihemko.

Umekula chakula usiku huu lakini au umenunua bando
 
Tuliyonufaika nayo kutoka Urusi....

1. Pombe zao Kali Kuharibu Akili za 99% ya Wasomi wa Tanzania wakitoka huko Urusi.

2. Kiwango cha Roho Mbaya na Ukatili kwa Watanzania wanaotoka Kusoma huko Kwao.

3. Watanzania wanaosoma huko kuwa Wabahili kupitiliza na kuwa Watu wasiojipenda na Wachafu.

Tunawashukuru Urusi kwa huu Msaada.
Ala! Kumbe![emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
 
Back
Top Bottom