Recent content by Kasigila

  1. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Uyu mzee alivonyoaga nywele ndo nilianza kumpenda
  2. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ko Narcos na Narcos Mexico ni tofauti?,maana mi nishaiangalia narcos mpaka season 2
  3. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Aliyesuggest niangalie berlin station nishaimaliza season 1 haiko vibaya ni nzuri ila hii the wire nimeifuta na gangs of london nimeichungulia nimeona mtu akichomwa moto inaonekana ni nzuri
  4. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kwangu mimi hi breaking bad niliipenda sana haina action ila iko na visa vizuri
  5. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Same to me niliiachia hapo hapo sikutaka kujua itaendelea vip
  6. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Ebu leta link mzee maana kwa reply zinakua zinachelewa kuonekana fasta
  7. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Wakuu naitaji msaada kwenye izi simu za android za tecno badala kujaza chaji zenyewe zinakua zinashusha solution yake ipi
  8. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Jamani habari zenu, ivi tecno t349 kama mafundi mushajua ili tatizo la batani kutofanya kazi isipokua batani ya nyota na moja kujihold
  9. Kasigila

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    You mean Eutelsat 16a caurse I tried to fight on my best level but nothing I get related on those channels
  10. Kasigila

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE OFA: Tuna install software kwenye Laptop na Desktop

    Mkanda wa kwenye screen
  11. Kasigila

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE OFA: Tuna install software kwenye Laptop na Desktop

    Mkanda wa laptop unahitajika Lenovo g500 Naupataje na gharama zake
  12. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu(CWT) kinakusanya zaidi ya bilioni hamsini za walimu wanyonge bila kufanyia kazi waliyotumwa

    Na wanavowadanganya walimu kwa t-shirt na kofia basi ndo wanakua wamemaliza
  13. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Waigizaji weusi waliotisha kwenye muvi za mapigano miaka ya 90.

    Tukuyu Mbeya tulimuita Mwafilombe kwenye vibanda umiza
  14. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    nadhani unahaki ya kuifuta ITV katika king'amuzi chako kwani si pekee inayoonyesha matukio yote ya matokeo ya uchaguzi au ndo unaitemegea kwa kuwa hujalipia.Kipindi cha kampeni TBC na STAR TV tulifuta wengine hatutaki kujisumbua n presha eti wanafanya upendeleo
  15. Kasigila

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya umulikwe sana na vyombo vya ulinzi na usalama kuanzia wakati huu

    Watu wa Mbeya ni wakalimu wewe tunaishi na watu wa Malawi,Zambia na Kongo kama ndugu izo vurugu wanafahamika wanaotaka tuwe kama Libya
Back
Top Bottom