Recent content by kashulwe

  1. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Ameondoa watumishi hewa na wenye vyeti feki lakini ametengeneza watumishi hewa wenye vyeti halali. Alipo teua wagurugenzi zaidi ya 160 wapya huku wale wa zaman wakiendelea kula mshahara ule ule wa ukurugenzi, kwa hyo cheo kimoja analipa mara mbili, hili n kosa na ndio maana anakosa pesa za...
  2. K

    Nape Moses Nnauye; Shujaa wa awamu kandamizi

    Hajauona umuhimu wako,ucjali ipo siku wataitambua thamani yako
  3. K

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Hajielewi alietoa mada, ikiwa ni walimu hao hao ndio wamekufundisha mpaka leo unafkia kuwatuka,ndio unawaambia hawana kitu
  4. K

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Mnaipeleka wapi Zanzibar hii nyie viongoz wapenda madaraka?
  5. K

    Mwalimu kuandaa notice kupitia internet tu

    Naomba nisaidie source ya kupakua notes za history
  6. K

    'Tuzo' au 'tunzo', wataalam wa lugha tafadhali

    Mimi bado napata gagaziko kama sio uvulivuli ktk hayo maneno. Tuangalie mfano wa sentensi hiz halafu tuseme ipi sahihi 1; Sasa ni zamu ya kumtunza mama wa bi harusi. 2;Sasa n zamu ya kumtuza mama wa bi harusi. Sasa tuone hapo ipi sahihi ndipo tuseme ipi sahihi
  7. K

    Gaddafi last speech

    Hapo n big yes. kwa sababu hakuna nchi duniani iliyokua inaishi maisha kama ya walibya. tuangalie tz yetu,tuna asilimali zoote lkn hakuna cha bure hata ada tu imeshindikana kufutwa,hospitalin madawa hakuna . lkn gadafi alivfanya vyote hvyo kwa kutumia asilimali chache zlzo patkana, na hvyo...
Back
Top Bottom