Sorry lakini... mimi huwa nihisi kuna watu walioletwa humu duniani na mwenyezimungu ili kuleta maafa aka kuwashikisha adabu binadamu, ebu tukumbuke matendo ya hawa watu... saadam husein, mugabe, mohamed atta, jihad john anayewachinja wazungu, faru john..., akseh hawa watu walizaliwa na mama zao...